Wadada wanaofaa kuolewa

,
Ebu jaribu kuziishi hizo sifa ukiwa na mpenzi wako, nakuahidi ndani ya miezi sita tu, utatulete kadi za harusi
🤣🤣🤣Sasa huyo so mke mtu tayari?yani afanye yote hayo akiwa anatumika aka kuchunguzwa ili aolewe?🤣🤣🤣
Btw vipi uneoa mkuu?na ana sifa hizo au bado unanunua UTI za bei rahisi?
 
,

🤣🤣🤣Sasa huyo so mke mtu tayari?yani afanye yote hayo akiwa anatumika aka kuchunguzwa ili aolewe?🤣🤣🤣
Btw vipi uneoa mkuu?na ana sifa hizo au bado unanunua UTI za bei rahisi?
Nimeoa mkuu, mwaka wa 23 huu; pia tunapasha pasha huku nje ili kuwapa kampani hawa ambao hawajaolewa, wasijihisi vibaya kwamba tumewatenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…