We jamaa unajua maada inasemaje kweliHujaelewa nini?
Ukiambiwa simba akidiwa hula nyasi tafsiri halisi kimaudhuwi inamaanisha nini
Unaelewa unachouliza? Au unaandika tu ilimradi
Ila punguza kupiga miti bwana dahhh you have grown up...Amina
Ahaaaa et ndala ndefusiwaelewagi madem wa hivyo, dem wa kishua anakuletea hadi mashuka mapya, siku nyingine na mboga kabisa anakuja nayo ili mpike. sasa hawa akina mwajuma ndalandefu sasa, vikija vinakaa kitandani kupika havitaki vinataka ukavinunulie chipsi mayai.
pumbaf sana.
Ni kweli mkuu yaan yeye badala ya kuwa deep in love ana kuwa deep in moneyKunamoja alitaka kuniretea magojwa ya moyo akianza tu sms nikwambie kitu juwa bom hiro harafu huwa wanajisahau sana paka unakuta mda wotee anazungumzia shida zake tu kuriko mapenzi wakati mwingine unamkubaria ili avuwe chupi umrambe vi 2 asepe nashida zake mbere kwa mbere madem masikini pasuwa kichwa kiujumla wanawake wasio nashuguri sio atakuzeesha
Hebu nenda kasome vizuri na highlight hapo palipozungumziwa kugawa.wanaume wenye hela zao wanaendelea kuwa na hela zao kwasababu hawagawi kishamba.
Mwanaume mwenye hela utamuona wapi dada?wanaume wenye ela zao,hawaropoki wala kulalamika lalamika ovyo kama wavulana hohe hahe.
hamna ukweli hapo punguzeni njaa shida zako kamtangazie Daddy yankee.Hebu nenda kasome vizuri na highlight hapo palipozungumziwa kugawa.
Anyway lazima povu litoke mnapoambiwa ukweli marioos.
Wewe nawe ulie unachoshwa!!!???Mwanaume mwenye hela utamuona wapi dada?
Saa ngap atapata mda wa kuongea na wewe wakat gar yake yenyewe iko tinted nyeus
Achen kunuka shida aisee mnatuchosha kwakwel
Wallah marioo mnajitahidi kupiga kelele kuliko wanaume wanaojiweza.hamna ukweli hapo punguzeni njaa shida zako kamtangazie Daddy yankee.
hatuogopi kuchunwa. hatutaki kuchunwa. pambana na hali yako shida zako mwambie babaako na mamaako.Wallah marioo mnajitahidi kupiga kelele kuliko wanaume wanaojiweza.
Marioo mnakuwa na wasiwasi wa ela zenu za ngama baada ya kuchuna,so mnaogopa kuchunwa. Inabidi mtoke povu,haki yenu kwa kweli. Nawaelewa jomoni ila punguzeni kiherehere
Wewe ni mvulana?Wewe nawe ulie unachoshwa!!!???
Wallah ya Mungu mengi duniani...
Kumbe dada mi nikafikiri utasema wanaume wenye ela utawatoa wapi mvulana. Kama ni dada wasiwasi wako tu na Psychology yako
Povuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatuogopi kuchunwa. hatutaki kuchunwa. pambana na hali yako shida zako mwambie babaako na mamaako.
Povu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]povu my foot.Wewe ni mvulana?
Mbona unataoa povua zaid ya omo au maada imekugusa kunako nini