Wadada wenzangu hii sio poa

Acha uongoo
 
Wewe Huna dudu unamiliki Bomba sio la maji mrija umepauka Huna hata hela Huna hadhi unasura kama visheti na umekomaa kama viatu vya Petro nani kakuambia nitaishi milele nyumba zakupanga unanijua sana eh basi unaishi kama ndege Huna makao
tuachane nahayo vipi mama mkwe hajaondoka nikutumie nauli uje tuinjoi?
 
Mkuu utashangaa hata wanaoandika wengine hapa ni wakurugenzi kwenye idara. Binadamu anaweza kuishi kutokana na mazingira, ndio maana baba anaegopewa home akija mtaani tunamtuma ice kaunta na tunacheza nae singeli. Kwahiyo hata wanaoandika huku usidhani wote wapo tuuu kisa wamechagua JF kuwa kijiwe cha kufanyia ujinga wao. Kuna member ana ID kama 3 za kufanyia upuuzi I swear ukimjua nje ya JF ukiambiwa huyu ndie anaeandikaga upupu JF utabishana milele

#LeoNimekuaSerious [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tuachane nahayo vipi mama mkwe hajaondoka nikutumie nauli uje tuinjoi?
Wewe ni mwehu Huna akili unadhani unanitusi halafu ulete upuuzi wako tu chai acha bangi wewe mpuuzi mie sio Malaya uliowazoea unawatishia wanakuja haraka
 
Ni members huku? Mambo ni mengi sana aiseee
 
Mkiwaendekez sana Wanaume, watawadhalilisha sana..

Kama una bwanako anakitengo wee acha kumpiga vimizinga vya mboga mboga.

Piga mzinga mkubwa, ili ukusaisie kurun kanibiashara Fulani Ili siku bwanako akisusa.

Usilie lie.
 
Mbona ghafla mhh ngoja tytulie tutazid kuona mengi
 
I second you, ukijua kausha kama hujui sababu ukimuuliza tuu akakubali unakuwa kama umehalalisha ataanza kuhudumia bila kificho, watawasiliana kwa uhuru since hana cha kukuficha na kuogopa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waeleze mama.
Tunavyocheka hapa na kutania wanafikiri ni wapuuzi flani🀣🀣🀣🀣
Vipi Jack wetu hajambo?🀣
 
Sijahatimisha, nimesema kuna walio smart sana humu na wapo walio makasha πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
Najua humu kuna watu vichwa sana na makasha yapo kwa sanaaa tu kuna kila aina ya ubongo humu...

humu si tunakuja ondoa stress, sio pakuumiza sana akili kwa waja wa humu unaweza umia kichwa kumbe mtu anaondoa stress zake... huyo mwenye ID tatu si ndi wewe.. hujisemi tu kwakua hupendi kiki... si kama Bishanga enzi hizoo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…