Wadada wenzangu hii sio poa

I second you, ukijua kausha kama hujui sababu ukimuuliza tuu akakubali unakuwa kama umehalalisha ataanza kuhudumia bila kificho, watawasiliana kwa uhuru since hana cha kukuficha na kuogopa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wanadhani timbwili ndo tiba. Ukimkuta mume mwenyewe naye zimeruka basi kazi inaishia hapo na ndo anahamia kwa huyo mwanamke. We ukishajua tu kwamba kalikoroga ukijifanya kuuliza ndo unampunguzia ile presha ya kuja kukwambia. Mwache apagawe na kihoro chake kwamba anamletaje mtoto kwa mkewe. Na kweli unavyosema ndo atamuhudumia very freely. Yani kuna mda busara ni mara mia kuliko nguvu.
 
Na kuna wengine wanajifanya wana life fulani ambalo hawana. Nimebahatika kuwajua watu wawili na ID zao za jf. Mmoja namfahamu face to face namfahamu in out.
Mwingine alikuwa rafiki kwa muda mrefu zamani sana namfahamu kwa pics bahati mbaya baadae nikajua ID yake ya JF aliscreenshot kitu akareveal ID bila kujua yaani mambo anayoandika humu na alivyo ni tofauti kabisa.
Kwanza kutwa kuwaponda kina dada humu anajikuta someone matawi wakati mshamba balaa.
Basi watu wanamsifiaga me nawachora tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wachukueeeee somooooooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaa Jf ni ya motoooooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwa ID tatu kuwa zangu umenichekesha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…