Wadada wenzangu hii sio poa

Hii gender sio poa🤣🤣
 
Ohoo nyumba anaipambania mke ili isivunjike😂 sisi tushawajua huwa mnaenda huko kwa tamaa basi sisi tunawasindikiza na maombi ili mrudi nyumbani salama😂😂

Tatizo lenu mnasusaga Hadi kwenye nyumba, hapo ndipo hivyo VITOTO vinatumia udhaifu wenu kuwatoa ndani ya nyumba.

Sasa Mama mjengo ATI kisa Mumeo anachepuka unaamua kuondoka hapo nyumbani, unategemea nini hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…