Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Me nishaandaa kibunda changu cha mawe na mchanga wa kuwarushiaSisi mawe mkononi, maneno mdomoni
Ye asijaRiiiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nishaandaa kibunda changu cha mawe na mchanga wa kuwarushiaSisi mawe mkononi, maneno mdomoni
Ye asijaRiiiiiiiiii
Sijapenda katupotezea muda na energyTena anawaogopa vibaya
Hii gender sio poa🤣🤣Humu wadada wengi Wana avatar mia Moja za kiume na zakike nimetafakari sana nanimeona kuwa huu sio ustaarabu umchafua mwanamke mwenzako Kisa mwanaume ambaye ni mume wa mtu ambaye ni amepiga umri wa kutosha .
Kala chumvi nyingi sana na bado anafamilia inamsumbua because yupo kwenye kitengo kizuri basi unamganda anamke huyoo.
Ndio chanzo chakutukanwa mie wewe kinyago nakujua na nimegundua Kuna vinyago humu vinawashwa na Mimi.
Huyo aliyenitukana ni mwanamke ambaye anadhani nipo na jamaa zake sijajua humu watu wanalipiwagwa Kodi,shopping na wanatafutiwa michongo yakazi humu watu wamezaa na michepuko Yao .
Sasa mtu akiona ninavyochart naye anajua huyu jamaa anaongeza kitu Kwa taarifa yenu msinizoeee kabisa.
Namjua mmoja na wawili Hawa ndumilakiwili wanaojidai kuandika andika positive comments unadhani ni wapendwa kumbe vigroup vinajazana ujinga eti mie na wachukulia vizee vyenu . Sina time navyoo mjue.
Na kama kuchoka na mambo yake kila mtu anachoka na mambo yake
Msinichambe nitawatag uchunguzi ukiisha .Basi unawaogopa
Sawa poleni nahakikisha nitawatag soon tuanze kichapo soon plzSijapenda katupotezea muda na energy
Ohoo nyumba anaipambania mke ili isivunjike😂 sisi tushawajua huwa mnaenda huko kwa tamaa basi sisi tunawasindikiza na maombi ili mrudi nyumbani salama😂😂
Haya mwambieni awape huo ubuyu😆😆mbea weweasa ndo nini acha tupate raha wenzio 😂😂😂😂😂😂
Bwanayesu🤣🤣
Umeiba umekuja kujitetea hapa.Hakuna mtu aliyeibiwa mume mie sinaga time na wanaume wa humu 2022 nipo kivyangu kabisa so nitokee
Haya fanya hivyo fastaSawa poleni nahakikisha nitawatag soon tuanze kichapo soon plz
Umeona kazi hiyo sasa😂😂Halafu mtoke nduki Jana juzi Wala hamkuwepo nilipochambwa
Kama ulikuwa hujamaliza uchunguzi kwanini uliandika?Msinichambe nitawatag uchunguzi ukiisha .
SijaelewaWake na Sina gari mke ni yule anayejaliwa Kwa kila kitu Kama nyumba ya kisasa ,gari,na hela ya matumizi Kwa mwezi ulionona Sasa sie bado huko aisee
WordOooh kumbe umeambiwa tu? Achana na maneno ya kusikia zidisha mapenzi kwa huyo mpenzi wenu mpaka mchepuko mwenzio akili imkae sawa.
Kuchambana kisa wanaume mambo ya zamani sana shoga angu
Sisi malegendaryyy
Au katunga story anataka kutuingiza na sie kwenye matatizo kibao kitugeukie?Kama ulikuwa hujamaliza uchunguzi kwanini uliandika?
Kambea wewe