Wadada wenzangu hii sio poa

Wadada wenzangu hii sio poa

Wewe unaeanzisha uzi ndio utaleta shida..kama wanakutukana piga kimya zidisha mapenzi Kwa huyo mume wenu acheni mambo ya kudhalilishana ndugu zangu.

Kama wewe sio mume wako,na anaekutukana sio mume wake..sasa ya nini kugombana wakati nyote nyie sio mwanaume wenu halali?

ichange karata yako vizuri.huku wakikutukana kule Kwa mume wenu unampa viuno vya kwenda..bj za maana kama kibogoyo.

Be smart
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea eti nn? Lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu kazi tupo mwaya we wataje af kazi yote tuachie sisi.

Kwanini wakufanyie hivyo shoga etu kipenzi Unique Flower , hunaga baya ya mtu
Nina hasira sana emu wataje saivi tuanze kuwashughulikia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sisi ni watetezi wa wanyonge....mtu hawezi kuonewa hivo sie tupo, hapanaaaa( in mkojani voice)[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Flower taja haraka nanyoosha kijora cha kumchambia mtu[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sisi ni watetezi wa wanyonge....mtu hawezi kuonewa hivo sie tupo, hapanaaaa( in mkojani voice)[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Flower taja haraka nanyoosha kijora cha kumchambia mtu[emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwaya Unique Flower hiyo siku hatukua hewani, tusamehe bure
Ila nakuhakikishia leo tuko bega kwa bega na wewe.

Hivyo hapa nilikua naenda sokoni ila nimesimama mahali nasubiria uwataje nikupambanie na sokoni siendi tena, huoni navyokujali?

Haya watajeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu we acha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tunashinda tunasali tunasema eeh Baba, naomba Baba nanilii akiwa anatembea huko akiviona hivi vidada asihamie mazima[emoji1787] msituone hivi tunasali sala ndefu vitoto ni vichawiii balaa vinashindwa kula kimyakimya vinataka vimtoe mama mwenye nyumba.

Nna rafiki yangu alikua anataka nimshauri anataka kupaki mabegi kisa mchepuko wa mmewe anamsumbua sana anasema ye pia ni mke mwenza. Nikamwambia usinyanyue mguu humo ndani hao wanakupanikisha ili utoke aje yeye. Nikawambia bora hata mkimbizane humo ndani na baba nanii sisi wa nje tusijue ila sio uache nyumba yako kisa kipussy cha chuo. Jana niliwaona mke na mume wako zao out nikasema sasa je mambo si ndo hayo. Saizi michepuko hatuwaachii nyumba. Hawa wababa tunashikamana nao hadi kiama rogeni tu mlipiwe kodi ila majumbani watakuja kula tulichowapikia[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machozi. Khaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom