Wadada wenzangu hii sio poa

Tatizo lenu mnasusaga Hadi kwenye nyumba, hapo ndipo hivyo VITOTO vinatumia udhaifu wenu kuwatoa ndani ya nyumba.

Sasa Mama mjengo ATI kisa Mumeo anachepuka unaamua kuondoka hapo nyumbani, unategemea nini hapo
Mi saizi mashoga zangu hawanipigii simu kuniomba ushauri maana jibu langu ni moja. Kama hakupigi ngumi za kichwa na mateke ya tumbo tulia hata huko nje kugumu. Sasa tutasusa sehemu ngapi. Baba nanii wangu tuli date miaka mitano kabla ya ndoa ananijua namjua. Mi saizi kuanza maswala ya what is you favorite colour naweza kuchizika. Michepuko tuwape tu taarifa saizi hata mpige simu kwa wake za madanga yenu hawatoki na hawasusi🤣 labda huyo mke asiwe shoga angu🤣 tafuta na nyie wa kwenu muanze nae kum shape awe hiyo type. Kauli mbiu ni kwamba hakuna kususia nyumba wala watoto. 🤣
 
Yani love usiandike sana ww watag tu
 
Tatzo watu mna juana mkija humu mna chat hadi kwenye thread za watu kama mna juana kabsa ...
 
Something is not right, yaani kabisa naona maji ya kilimanjaro yamekosa ile taste ya kipindi mzee mengi akiwepo. We need an expert on distillation issues...
Nimesoma comments nimecheka sana, ila hii yako nimeshindwa kupita bila kucomment 😅😅😅😅😅😅

Ila wanasemaga ukiona unasoma kitu hukielewi jua wewe si mlengwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…