Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
😂😂😂😂BrooTulia mtoto acha hizo hekaheka hapa ni mahali pa kufurahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂BrooTulia mtoto acha hizo hekaheka hapa ni mahali pa kufurahi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆🤣🤣Kama hunisikilizi usinitaje tena.
Mimi hivyo vita sio size yangu....umenielewa?
Weee usiniambieUnaringa ukiitwa mie nawengi nawapanga mstari halafu hakuna ambaye hana gari ya maana wote wanayo hoteli tunazolala ni za maana Sasa upo??
Wacha bhana 😄😄Mkeo ni kitu miraba minne .
Halafu umeniambia Sina wezere asilimia 90 ya hao wanaoleta kwenye nyumba za kawaida maana hawajui kukaikalia vyema siye unaona tunaitwa Malaya tunajua kuikalia hadi wanadata wanachanganyikiwa
KumbeeeWanasema fake it untill you make it. Ila JF wamezidi kufake sana mpaka ukifikiria maisha yako unajiona ni mpweke usiye na direction kabisa kumbe mara mia na wewe. Mtu anakwambia lete CV au mawasiliano PM unatuma halafu anakauka kimya kumbe nae jobseeker kama wewe tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mazito haya😁😁Tatizo lenu mmeruhusiwa kufungua account hizo zinaitwa washenzi account.
Sidili nao saivi ni muda wakunywa mtori mie Sina muda utabakia nakadudu kako kananuka beberu 😃😄😄😄😄
UnakuwajeYess mtu ukiambiwa Malaya unakuwa
Sema my sisy😂😂😂😂Broo
Unanicheka ee😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆🤣🤣
Unapuyanga sanaNa nyamaza tu naare body upo wapi lakini??
Karibu mbege my dear my swety my kapeti la manyoya
Wii umemuona lakini 😂😂Sema my sisy
Kyeeeeunajua kuikalia wapiii.wakati umeendekeza pesa mbele minyonyo imemwagika Kama vile unanyonyesha ndama.nakushauli toa hio avata weka picha yako ili watu wasihangaike kupoteza mda wao kwako
Usitake nivunjwe mgongo mimi🤣🤣🤣Wii umemuona lakini 😂😂
Bahati Hiyo ua hilo
Weeeeeeee….Nimehamua kufanya kweli Sasa sio kuwa nao hapana ila kila me humu nitakayechart naye nachart naye kimahaba kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23] Fanya unang'ata na kupuliza.Mmmh natamani niandike kitu ila nilivyo kinara wa kuwatetea wanawake kumbe sisi wenyewe ndo chanzo cha kutukanwa. Sasa wakiona hivi watatuona tuna akili zimetimia kweli?
Naona kama narudishwa maisha ya chuo hivi. Vidrama drama vya kitoto saana. Relax kadada jf tuifanye kama sehemu ya kujifunza na burudani tu. Hivi vijembe vinatushushia heshima sisi ke wote humu.
🤣🤣🤣🤣Usitake nivunjwe mgongo mimi🤣🤣🤣
Au kalewa?vile sumuelewagi!🙌Unapuyanga sana
[emoji38][emoji38]Huyu Dada anahitaji msaada wa kisaikorojia