Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Huo ndio ukweli,huyo ndemla mwenyewe tulishamtia kibindoni akawa anawazuga anaenda sweden,ndio maana hata walipoenda turkey yy alichelewa kwenda,kama si yule nyika kumzingua mtu aliyetaka kumsajili Yanga yule dogo saa hizi angekua jangwaniHahahaaa. Swahiba utamfanya sembo alie ujue.
Hili suala la Feisal ni bora kuliko Mkude leo limenifanya nimekesha, nikimuangalia kwa umakini huyu Dogo.
Nilichogundua.. Fei Toto anahitaji kukaa na Mkude katika timu moja kwa misimu zaidi ya mitatu ili ajifunze.
Watani zangu Hajar Sibonike kyata Frank Wanjiru Vyamavingi Guasa Amboni Ulimakafu n.k tupeni Feisal tumpike, then akiiva tunawarudishia.
Kwani Mkude anacheza namba ngapi Taifa stars maana naona ajifunze kwa Mkude zipo nyingi!Hahaha... Feisal 'anajitahidi'.. Ila kufikia vile 'viwango' vya kuwa tegemeo la Taifa.. Inatakiwa asibweteke, aweke kichwa chini na ajifunze toka kwa kaka zake kina Mkude.
Mkuuu we endelea kupiga porojo mtandaoni.. Ukija kushituka unaona picha ajibu akisaini Simba.Miaka 4 aliyokaa mikia akuwahi kua na furaha km mwaka m1 aliokaa Yanga,anajua vzr adha za mikia + mikia wanavyotreat niyonzima,ajibu hawezi kufanya ujinga,wenye Yanga yetu tunajua ajibu kwa sasa lengo lake ni kucheza nje ya TZ,hilo ndio litakalotusumbua kumuongezea mkataba but si kurudi mikia
Kama sio mzuri mbona wakati wa usajili mlimfukuzia hadi Tandika kwa Maguruwe na akawachomolea nje. Ki ukweli dogo anajua na anacheza mpira wa ku relax. Ebu mkuu Sembo jaribu kumwaangalia alivyocheza mechi ya Yanga Vs Mtibwa (Chuo cha Soka) ndio utaona utamu wake.
Mkuuu we endelea kupiga porojo mtandaoni.. Ukija kushituka unaona picha ajibu akisaini Simba.
Achana na zile habari za ndani zilizopo ofisini juu ya makubaliano yaliyofikiwa.. Anza na hii..
Meneja wa Ajibu anena haya.. “Kutokana na uwezo ambao anauonyesha Ajibu, viongozi wa Simba wamenifuata ili niweze kuzungumza nao kwani hata msimu uliopita kabla hajajiunga na Yanga walikua wakimhitaji"
Source: SIMBA WAMFUATA STRAIKA HUYU YANGA - SALEH JEMBE
Huo ndio ukweli,huyo ndemla mwenyewe tulishamtia kibindoni akawa anawazuga anaenda sweden,ndio maana hata walipoenda turkey yy alichelewa kwenda,kama si yule nyika kumzingua mtu aliyetaka kumsajili Yanga yule dogo saa hizi angekua jangwani
Mkuu inaonekana ulitaka kumpiga mzinga.. Ikabidi akukatae kwa staili hiyo.Jipe moyo,kuna mchezaji wa simba leo hii kaniambia kwa mdomo wake wameshauriwa kutumia vizuri mshahara wa mwezi uliopita,mkuu endelea kujipa moyo
Huyo mkude yupo timu gani?Nionàvyo Feiasal ni bora kuliko mkuďe.
Haata sijui uyo mkude timu anayocheza hivi kwani jana hakuwèpò benchi la tąif stars?Huyo mkude yupo timu gani?
Fei kama Sergio wa barca tu,miili midogo mambo mazito
kulikuwa na KichuyaNi kweli Mkuu.. Na ushauri wangu kwa watani zangu.. Kulikua kuna Juma Seif Kijiko.. Kukikua kuna Godfrey Mwashiuya..n.k wote walipotea kwa sifa kama hizi hizi wanazompa Feisal kwa sasa. Wapunguze kumpamba.
Mkude kalifanyia nini hili Taifa??? na Simba kacheza miaka 7 ubingwa Mara mbili..ujue anazidiwa medali na Makapu...Kipindi cha mwisho Mkude anasaini Simba.. Tulimpa 80 milioni keshi + gari + mazagazaga kibao.. Safari hii tunadouble hilo dau.. Mna uwezo wa kupambana??
ana medali ngapi za ligi??? mbili tu..Pato Ngonyani 4Mkude ni balaa, we mchezaji karibia misimu 10 yupo kwenye kiwango bora kabisa unadhan mchezo.. kundi la mkude wapo akina yondani, sure boy, nyoni, boko, himid, kapombe, na wengine wachache.