Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
View: https://www.youtube.com/watch?v=Ii1HHXakCro
Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) ulioanza Agosti 6, 2024 jijini Arusha unaendelea ambapo unajadili kuhusu Matumizi ya Mbinu za Kisasa kwenye Ununuzi wa Umma ili Kudhibiti Rushwa na Ubadhirigu, Kuhuisha Ununuzi wa Kielektroniki, Ubia kati ya Sekta Binafsi na Umma katika Kuimarisha Ufanisi kwenye Ununuzi.
Akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano huo, Mkurugenzi Mtendaji wa WAJIBU, CAG Mstaafu CPA. Ludovick Utouh amesema "Miamala ya manunuzi kwa kiasi kikubwa inahusisha pia Rushwa, ndiyo maana tunaamini ni muhimu kuitisha mkutano mwaka huu ili kujadili mada hii muhimu."
Aidha, Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Charlotta Ozaki Macias, amesema "Katika dunia ya sasa, maendeleo endelevu yamekuwa suala muhimu kwa serikali, biashara na jamii. Katika msingi wake, maendeleo endelevu yanalenga kukidhi mahitaji ya sasa bila kuathiri uwezo wa vizazi vijavyo."
Akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) unaoendelea Jijini Arusha, Mkuu wa Ushirikiano kutoka Ubalozi wa Norway nchini Tanzania, Kjetil Schie Agosti 6, 2024 alisema Manunuzi ya Umma yanaathari za moja kwa moja katika Maisha na Vipato vya Wananchi
Ameongeza kuwa Pato la Taifa la Nchi za Afrika zikiwemo za Kusini mwa Jangwa la Sahara limekuwa likiguswa kwa takriban 10% hadi 15% kupitia ununuzi wa Umma na hivyo, ni muhimu kwa Wananchi kushirikishwa kama Waangalizi wa Umma ili kuwa na uwazi, na uwajibikaji
Mhandisi Raymond Mbishi ambaye ni Mtaalamu Mwandamizi wa Manunuzi amesema bado kuna hali ya kukosekana kwa uwazi katika Miradi ya Ubia kati ya Sekta Binafsi na Sekta ya Umma (PPP) nchini
Akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) Jijini Arusha, amesema Sekta Binafsi siku zote inajiendesha kwa kuangalia zaidi faida na hivyo itanya kila mbinu kuhakikisha inapata inachokitaka na kwa bahati mbaya, kuna usiri mkubwa katika Miradi ya PPP
Ameongeza "Kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita tumekuwa tukiuliza maswali mengi kuhusu Miradi ya PPP wengi wetu tunajua hakuna majibu ya uwazi kutoka upande mwingine, yote ni kutokana na kutawaliwa na usiri"
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya WAJIBU, CAG Mstaafu Ludovick Utouh amesema kama nchi inataka kuhakikisha kunakuwa na mafanikio katika Miradi ya Ubia kati ya Sekta Binafsi na Umma (PPP) inatakiwa kutoa elimu ya kutosha kwa umma kuhusu umuhimu wa PPP
Utouh amesema hayo katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) Jijini Arusha na kuongeza kuwa "hakuna nchi yoyote duniani iliyofanikiwa kufanya Miradi ya maana na yenye mafanikio kwa kutumia rasilimali zake yenyewe"
OPENING REMARKS OF THE WAJIBU’s AGM CHAIR MADAM JANE MAGIGITA DURING THE OPENING CEREMONY OF THE ITAC 2024 HELD ON 6TH AUGUST 2024 AT THE GRAN MELIA – HOTEL IN ARUSHA, TANZANIA.
Firstly, I would like to thank our almighty God for giving us this beautiful day and an opportunity for us all to meet here for the advancement of the Accountability Agenda in Tanzania. Secondly, I would like to thank you all for taking your valuable time to attend this International Transparency and Accountability Conference (ITAC) 2024.
It is with great pleasure that I extend a warm welcome to you all the attendees of the International Transparency and Accountability Conference (ITAC) 2024. This is the fourth year, that WAJIBU is organising ITAC conferences. In this ITAC 2024, WAJIBU has also organized an Expo event just outside this building, which they will be displaying projects that have impacted communities in Tanzania and I would like to welcome you all to visit them and
learn and/or support the great work of WAJIBU.
Ladies and Gentlemen
Let us all unite this year, under the overarching theme of "Fostering Effective Procurement Systems for Sustainable Development in Africa," a pivotal topic in our collective pursuit of 2 progress and prosperity. Let us also remember those who have fought in this region to improve transparency and accountability on public financial management systems in their countries for a better tomorrow.
It is crucial to know that procurement takes about 70% of our national budgets each year! It is therefore important to discuss procurement critically and objectively as its holds the dreams and ambitions of our future generations. Today, our young women and girls experience sexual violence simply because of lack of surveillance cameras in our streets, lack of street lights, poor public facilities, poor sanitation conditions in public spaces, extreme poverty, lack of hostels for girls and boys, lack of water, poor crop yields due to overprices fertilizers and pesticides, malnutrition and the list can go on and on.
All these issues I have mentioned are a direct result of procurement activities failures. Almost all public goods are acquired through public procurement processes that are guided by laws, policies and practices whose appearance leads much to be desired.
Ladies and Gentlemen
In Africa, the importance of robust procurement systems cannot be overstated. These systems serve as the backbone of sustainable development, enabling us to allocate resources efficiently, promote transparency, and uphold public financial accountability. By fostering effective procurement practices, we lay the groundwork for equitable growth, social empowerment, gender equity and environmental stewardship across our continent.
This year’s ITAC conference has brought together international experts, policymakers, practitioners, and scholars to explore challenges, best practices, and strategies for improving procurement processes in the African countries. As we discuss public procurement, let us remain steadfast in our commitment to transparency, accountability, and integrity. Let us seize this opportunity to forge new partnerships, exchange knowledge, and catalyze action towards building public procurement systems that not only meet the needs of today but also safeguard the interests of future generations.
Ladies and GentlemenOnce again, I invite each one of you to actively engage in the conversation, share your
perspectives, ideas and contribute your expertise towards our shared goal of advancing sustainable development in Africa. Together, let us inspire positive change and create a legacy of transparency and accountability through effective and efficient procurement systems that will endure years to come.
Without using much of your time, I would like to request you to listen to the speakers, the panellists and moderators of our ITAC 2024 sessions, so that we can achieve a meaningful conversation with high level resolutions which we can be advocated to the government to influence policies. Let us wish ourselves fruitful deliberations and meaningful conversations like it has always been in the WAJIBU’s ITAC conferences.