City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
Condom inapunguza raha kwa 50%.Ila wanaume mna kazi sana
Hapo mleta mada hana uhakika kama mzigo ni wake š¤£
Kwanini msiwe mnatumia condom ili kuepusha stress kama hizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Condom inapunguza raha kwa 50%.Ila wanaume mna kazi sana
Hapo mleta mada hana uhakika kama mzigo ni wake š¤£
Kwanini msiwe mnatumia condom ili kuepusha stress kama hizi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila wanaume mna kazi sana
Hapo mleta mada hana uhakika kama mzigo ni wake [emoji1787]
Kwanini msiwe mnatumia condom ili kuepusha stress kama hizi?
Ushauri wa kitalaamu kabisaMakadirio ni tarehe 05 sept ,ila utatoa wiki mbili na kuongeza wiki mbili kwenye hiyo tarehe 5 inamaana kwenye hiyo interval anaweza kujifungua
Akifika tarehe 19 hajajifungua basi iyo mimba imepitiliza aende hospital na kama mtoto atazaliwa kipindi hiki basi atakuwa amezaliwa na wiki 42 inamaana atakuwa amekomaa,nywele ndefu,kucha ndefu.
Mkuu inatokea tu msiwe mnahukumu nina scenario ambayo ningekua sina Mume muelewa na anaeniamini nahisi angeona nambambikia mtoto, mimba kila tukicheck Ultra sound inatupeleka mwezi mzima mbele tofauti na mahesabu yetu kitu ambacho daktari anasema haiwezekani!Ukisikia mimba zenye Baba wawili ndiyo hizo
Kila mmoja anapewa Kadi ya mtoto yenye jina lake š
Msubirie Mkuu, afike kwenye tarehe 20 Mwezi huu.
Kuna wakati inaweza kuchelewa ama kuwahi Kwa wiki mbili zaidi
Pole Mkuu Kwa changamoto uliyopitia, najua changamoto za hivyo huwa chache sana ya kwako ikiwepo.Mkuu inatokea tu msiwe mnahukumu nina scenario ambayo ningekua sina Mume muelewa na anaeniamini nahisi angeona nambambikia mtoto, mimba kila tukicheck Ultra sound inatupeleka mwezi mzima mbele tofauti na mahesabu yetu kitu ambacho daktari anasema haiwezekani!
Sasa ningemkuta mwanaume mwenye low mindset angekuja humu angeambiwa kabambikiwa.
Huyo kaka atulie tu asubiri mtoto wake hakuna cha kadi mbili wala nini, hizi comments jamani sio kila mtu anachuja mwingine utaona anakurupuka anaenda kukataa mtoto
Mimba haina tarehe kamili ila ni makadirio ambapo huanguka palepale kwenye makadirio,ila tarehe alizokutana naye kama anasema mimba mimba iliingia basi nakadirio yanaweza kufanyikaHapa hakuna ataekupa jibu sahihi kwakua hakuna anaejua mkeo aliiingia Mp mara ya mwisho lini
Hizo ndani ya wiki Mbili kabla au baada zitategemea zinategemea nahio tarehe yake ya MP ya mwisho
Kwenye tarehe ya kujifungua Huwa tarehe ya mwisho kuona Mp wanajumlisha 7 kwenye miezi huwa mwezi wa mwisho kuona hio Mp wanatoa 3 kama sijakosea! Sikumbuki vizuri
Cc Smart911
Ulizaa mimba ikiwa na wiki ngapi mamyMkuu inatokea tu msiwe mnahukumu nina scenario ambayo ningekua sina Mume muelewa na anaeniamini nahisi angeona nambambikia mtoto, mimba kila tukicheck Ultra sound inatupeleka mwezi mzima mbele tofauti na mahesabu yetu kitu ambacho daktari anasema haiwezekani!
Sasa ningemkuta mwanaume mwenye low mindset angekuja humu angeambiwa kabambikiwa.
Huyo kaka atulie tu asubiri mtoto wake hakuna cha kadi mbili wala nini, hizi comments jamani sio kila mtu anachuja mwingine utaona anakurupuka anaenda kukataa mtoto
Yeah kuna case za still birth ndo maana ukienda hadi 42 weeks lazima uende hospital kwa uchunguzi zaidi.Mkuu inatokea tu msiwe mnahukumu nina scenario ambayo ningekua sina Mume muelewa na anaeniamini nahisi angeona nambambikia mtoto, mimba kila tukicheck Ultra sound inatupeleka mwezi mzima mbele tofauti na mahesabu yetu kitu ambacho daktari anasema haiwezekani!
Sasa ningemkuta mwanaume mwenye low mindset angekuja humu angeambiwa kabambikiwa.
Huyo kaka atulie tu asubiri mtoto wake hakuna cha kadi mbili wala nini, hizi comments jamani sio kila mtu anachuja mwingine utaona anakurupuka anaenda kukataa mtoto
Kuna binti alipata mapacha walikuwa na baba wanne, kuna wanawake ni washenzi sanaUkisikia mimba zenye Baba wawili ndiyo hizo
Kila mmoja anapewa Kadi ya mtoto yenye jina lake š
Msubirie Mkuu, afike kwenye tarehe 20 Mwezi huu.
Kuna wakati inaweza kuchelewa ama kuwahi Kwa wiki mbili zaidi
Wanajua sana kutufanyia udanganyifu Kwa kushirikiana na Manesi wasio waaminifuKuna binti alipata mapacha walikuwa na baba wanne, kuna wanawake ni washenzi sana
Ipo sana hiyo ndo maana wanaume mmeshtuka mpo makini ili msipigwe lakini bado mnapigwa, halafu mengine hata nesi hahusiki sababu kama mijini vituo vya kupata huduma ya kliniki viko vingi tu anajichagulia kile kilicho karibu na huyo mbambikiwajiWanajua sana kutufanyia udanganyifu Kwa kushirikiana na Manesi wasio waaminifu
Unakuta unajibana kulea mimba kumbe mmepangwa akina Baba hata watatu ama zaidi kwenye mimba 1
bada ya kutoka majibu ya Vipimo vya HIV/AidsTarehe 17 mwezi wa 12 ndio siku ya kukutana na mwanaume, ila mpaka sasa hivi hajazaa yuko timamu au ni kawaida.
NB-habari ya kliniki sizijui kwahyo usiniulizee
Ni hatari Mkuu, mtuonee huruma tu š¤Ipo sana hiyo ndo maana wanaume mmeshtuka mpo makini ili msipigwe lakini bado mnapigwa, halafu mengine hata nesi hahusiki sababu kama mijini vituo vya kupata huduma ya kliniki viko vingi tu anajichagulia kile kilicho karibu na huyo mbambikiwaji
Kwani kondomu ndozi tasema kama mzigo ni wake?Ila wanaume mna kazi sana
Hapo mleta mada hana uhakika kama mzigo ni wake š¤£
Kwanini msiwe mnatumia condom ili kuepusha stress kama hizi?
Kwani kondomu ndozi tasema kama mzigo ni wake?
Condom inapunguza raha kwa 50%.
Taja LNMP ilikuwa LiniTarehe 17 mwezi wa 12 ndio siku ya kukutana na mwanaume, ila mpaka sasa hivi hajazaa yuko timamu au ni kawaida.
NB-habari ya kliniki sizijui kwahyo usiniulizee