Wadau mimba ya tarehe 17 mwezi wa 12 mtoto anazaliwa lini?

Wadau mimba ya tarehe 17 mwezi wa 12 mtoto anazaliwa lini?

Eti mpaka leo kimya
Mmeenda hospital?angalia kadi wewe ujue umri wa mimba,kasome hiyo kadi vizuri.Inamaana kama mpaka leo bado inabidi awe chini ya uangalizi vipi huko kwenu.
Kwa mujibu wa maelezo yako mpaka sasa mimba yako ina wiki 41.
 
Pole Mkuu Kwa changamoto uliyopitia, najua changamoto za hivyo huwa chache sana ya kwako ikiwepo.

Kuna ujauzito niliwahi kuulea Kwa Binti Fulani miaka Fulani, Tena nikamfungulia hadi account Benki kumuwekea chochote kitu.

Mshenzi yule kumbe mimba tulikuwa tunalea Baba wawili

Isingekuwa kutumia busara ningekuwa jela muda huu
Malegend wanatoa ushuhuda 😀
 
Back
Top Bottom