Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Inaweza kuwa sawa mkuu!Andaa nepi na hela ya Supu ya mzazi.Tarehe 17 mwezi wa 12 ndio siku ya kukutana na mwanaume, ila mpaka sasa hivi hajazaa yuko timamu au ni kawaida.
NB-habari ya kliniki sizijui kwahyo usiniulizee
Condom Haina Utamu!Ila wanaume mna kazi sana
Hapo mleta mada hana uhakika kama mzigo ni wake 🤣
Kwanini msiwe mnatumia condom ili kuepusha stress kama hizi?
Hapa ili kujua tarehe ya matazamio (EDD) kinachohitajika ni tarehe ya mwisho ya mama kuona siku zake (LNMP). Kuna formula ya kukokotoa hiyo tarehe.Tarehe 17 mwezi wa 12 ndio siku ya kukutana na mwanaume, ila mpaka sasa hivi hajazaa yuko timamu au ni kawaida.
NB-habari ya kliniki sizijui kwahyo usiniulizee
Kuna mmoja nilkutana nae TAREHE 17/ 12/2023 na mpaka Sasa ameishajifungua na mtoto amefikisha 40 tayari nadhani nitakuwa nilipigwa Kwa kawaida mtoto angekuwa Bado hajazaliwa, akaamua kuniletea mauzauza kibao eti mtoto alizaliwa njiti na kilo 2.6 , kuuliza Kwa wataalamu wakanimbia huyo mtoto kazaliwa akiwa ametimiza MIEZI 9 huyo, baada ya majibizano mengi huyo mwanamke ameamua kukaa kimya ila nilishalipia badhi ya bill , nilivyoona anazidi kutaka Hela Kila siku nkaanza kuhoji kuhusu uhalali wa mtoto , ndio kanikaushia Sasa hivi , Hawa wanawake jamani acheni kutubambikia watoto
Itakuwa ni manzi yake ya muda.Raha za muda mfupi zinaenda kumbebesha majukumu hakujipanga nayo...na labda majukumu yenyewe sio yake,kabambikiwa
Hii ilkua siku ya kukutana, trehe ya mwisho ya kuona period ilkua tarehe 07Taereh 17/9 atafikisha miezi 9 kamili . Weka siku 7 mbele atazaliwa around hapo
Itakuwa ni manzi yake ya muda.
Kutumia rubber kwa partner ni by chance tu.
Kwa hesabu zao wiki 40 kwa hesabu zetu wiki 36Ulizaa mimba ikiwa na wiki ngapi mamy
Tarehe 9 mpaka tarehe 24 September.Tarehe 17 mwezi wa 12 ndio siku ya kukutana na mwanaume, ila mpaka sasa hivi hajazaa yuko timamu au ni kawaida.
NB-habari ya kliniki sizijui kwahyo usiniulizee
Unahisi ni hayawani?yuko timamu au ni kawaida.