Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
- Thread starter
- #41
There is no reason for burning malls or trucks. Hakuna. Isipokuwa ujinga wao. Kama wangekuwa na akili hata kidogo wangejua kwamba kuchoma malorry na malls ni kuharibu uchumi wao na wengi wao watapoteza kazi. Madereva wengi wamepoteza kazi, watu wanaofanya kazi kwenye malls wamepoteza kazi. Investors wataanza kutoroka hio nchi maana wengi wamechomewa malls zao na malorry yao.Duh!!! Yani kitendo chako tu hiki cha kuwaita waafrika wenzako wajinga tayari kinaonesha ubinafsi wako. Don't ever call other stupid while you don't know the details.