Wadau, mna maoni gani kuhusu vurugu inayofanyika Afrika Kusini?

Wadau, mna maoni gani kuhusu vurugu inayofanyika Afrika Kusini?

Hivi huko hakuna helikopta za upupu,na vifaru? Hakuna mbwa wa polisi na jeshi? Hakuna watu wa special operations? Ramafosa juzi katoa hotuba kali ya ku deploy vikosi kazi mtaani naona kama anachelewa sana,hao wahuni bila kusagwa hawataacha huo usenge.
 
Malazy lazima waibe kwa sababu hawapendi kufanya kazi.
Ungejua [emoji1787][emoji1787] kdf wanalalamika kwa wasauzi kuwa wamepora hati miliki yao ya kupora malls "super market" wanadai kazi kama za kupora biscuits ni zao ,nowaona kdf wamenuna,wamemiss kupora maji
 
A Political blunder of a decade for South Africans. Hukumu hiyo itawagharimu sana
 
Wajinga wameenda hadi kwa port of Durban kuiba
 
Hiyo nchi masikini ni wengi kuliko masikini waliopo Kenya
 
Back
Top Bottom