There is no reason for burning malls or trucks. Hakuna. Isipokuwa ujinga wao. Kama wangekuwa na akili hata kidogo wangejua kwamba kuchoma malorry na malls ni kuharibu uchumi wao na wengi wao watapoteza kazi. Madereva wengi wamepoteza kazi, watu wanaofanya kazi kwenye malls wamepoteza kazi. Investors wataanza kutoroka hio nchi maana wengi wamechomewa malls zao na malorry yao.Duh!!! Yani kitendo chako tu hiki cha kuwaita waafrika wenzako wajinga tayari kinaonesha ubinafsi wako. Don't ever call other stupid while you don't know the details.
Kumbe ile post yako ya pale juu ni kutokana na wivu hii. Unatamani wakenya ndo wangekuwa na visa free entry. Fool !Yes Tanzanians have visa free to south Africa , make them easily entry
Kinachoendelea huko S.A ni ukabila Kama wa huko kwenu Kenya.
Alafu Hawa jamaa wanapenda kuiba Sana iko kwa damu, siku ingine ukiona wameanza chokochoko ujue Ni mlengo wa kuiba Tena,Na walikuwa wakilaumu immigrants wanawaibia Kazi Kumbe walikuwa wanatamaa za Mali zao,South Africa will be another failed republic like Venezuela 🤔
Unajua historian ya Zuma wewe!?
Kweli kabisa tatizo ni umaskini tu!!!!Wa South nao wanaishi kiujanja ujanja vibaka wengi wanatumia mambo kama haya ya kuandamana ili wafanye uhalifu wa mali,haiwezekanai mtu mhalifu asihukumiwe kisa ana watu kama mzee Mpili,yani sheria ipindishwe kisa wafuasi wake wameandamana nchi yao ndo ulaya ndogo lkn watu wake ni UTOPOLO tu.
Nimekuuliza swali fupi tu, mbona maelezo mengi!? Unaijua historia ya Zuma!?Hakuna unachoweza kunieleza kuhusu viongozi wa A ya Kusini. Aidha, sitarajii kama una undani wa masuala ya taifa hilo au hata habari za mapambano ya ndani kwa ndani (infighting) ya ANC yanayotishia hatma ya taifa.
Unaijua historia yangu?Nimekuuliza swali fupi tu, mbona maelezo mengi!? Unaijua historia ya Zuma!?
Wakunya 2022 uchaguzi lazimaWanaendelea kuvamia malls
S.A life ni ngumu Sana,wakipata nafasi Kama hiyo wanaitumia kuibaAlafu Hawa jamaa wanapenda kuiba Sana iko kwa damu, siku ingine ukiona wameanza chokochoko ujue Ni mlengo wa kuiba Tena,Na walikuwa wakilaumu immigrants wanawaibia Kazi Kumbe walikuwa wanatamaa za Mali zao,South Africa will be another failed republic like Venezuela 🤔