Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea Mkuu...Hiyo ni constipation. Ina maana unakula chakula lakini hunywi maji ya kutosha. It is like this: unakula chakula ambacho kinaenda tumboni,pale kinalainishwa na bile kutoka kwenye gall bladder. Halafu kinalainishwa na chyle kutoka kwenye ini. Baada ya hapo chakula kinapita kwenye small intestines. Pale kinakuwa absorbed into the body,kinaingia mwilini kupitia villi. Sasa kama hujanywa maji ya kutosha chakula kinashindwa kupita kwenye villi. Kwa hiyo unapata constipation ambayo,by the way,itakufanya uwe na tabia ya hasira kama Iddi Amin. Kwa hiyo lazima unywe maji ya kutosha.
There are three major causes of disease. Ugonjwa unasababishwa na mambo makubwa matatu Now read carefully,mambo makubwa matatu yanayosababisha ugonjwa: craving,hatred and ignorance. Magonjwa yanasabishwa na tamaa,chuki na ujinga. Sasa labda utaniuliza mty mjanja kama Einstein anaugua au haugui?
Four more secondary sources of disease:1. cold or heat2. any evil spirit or demon3. the wrong use of food4. wrong conduct of life.
Ashiki inasababisha wind diseases. Chuki inasababisha diseases of the bile. Ignorance inasababisha diseases of the phlegm.
Magonjwa ya craving ni magonjwa ya wazee,magonjwa ya bile ni magonjwa ya vijana,magonjwa ya phlegm bi magonjwa ya watoto.
Magonjwa ya wind yapo in the lower parts of the body. Magonjwa ya vile yapo in the middle part of the body. Magonjwa ya phlegm yapo katika upper part of the body.
Ndio maoni yangu. Naweza kuendelea kidogo kama usiponiuliza natumia kilevi gani.