Wadau, msaada haraka hali hii inatesa sana muda huu

Umevimbiwa,,,inaweza kuwa ulikua unakula haraka haraka,hukunywa maji n.k
 
Aisee...
Ndio tatizo la kulazimisha michakula ya kisasa..
Wewe umekuzwa na nguna na ndondo au misumari...
Basi mzikamata kidogo, mnakula haya masoseji, laiti ungejua yanavyotengezwa....
 
Endelea Mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…