Babu niko na maseke kinoma. Siez jiunga now. Nahisi watu watafyatuliwa soon πππSikia watoto wa mjini ikitokea mishe kama hii huwa wanajiunga ikiwa bado mbichiii ikiwa bado mpya wakati huo wanajaribubkuaminisha watu kwamba ni real so wana act real mipungabnjenje wanamwagabpesa balaa ili nyie muite wengine kwa ushuuda etcetc sasa basi ukishaona watu washakuwa wengiiii na watu kibao wanajiunga ujue wanakaribia kusepa so mm kama mshikaji wako nakwambiaje umeshachelewa miaka mitatu yote iliopita ulipaswa uwe umeshaingia saiv bomu linakaribia kuripuka mda sio mrefuu watasepa na kijiji cha watu wanasubiria tu mazuzu yajaee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo biashara ni zipi?Nimeliona tangozo nikacheka sanaaa,
In short ukitoa hela inazungushwa kwenye biashara zinazoingiza hela fasta,jamaa anamake faida kubwa kwa kutumia mitaji ya watu
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ sista angu alipigwa huko DeciHAWA WATU KAMWE HAWATAKUJA KUISHA MAADAM KUNA SOKO KUBWA, SOKO LA WATU WENYE KIU YA HIARI YA KUTAPELIWA.NAAM MATAPELI WATAKUJA KWA NJIA NYINGI NA NYINGINEZO ZINAONEKANA NI HALALI HIVI. ENZI ZA DECI WATU WALIKUWA WANAANZA NA MAOMBI NA KUMKEMEA SHETANI!!
WALIANZA DECI, NAMAINGO, HATA VYAMA VYA KUWEKA NA KUKOPA BADO WATU WANATAPELIWA, NDIO HAWA SASA. JE UNA NYOTA YA KUTAPELIWA? BASI JIUNGE NAO.
There are no shortcuts to success.........
Utawaweza hawa wazazi wetu?nilimpa hela awamu ya kwanza.alijenga mabanda akanunua na vifaa kutahamaki hela imeisha.hapo hakuna kilichoendelea.awamu ya pili nikatuma tena hela akaiweka vifaranga 600.mabanda matatu@vifaranga 200.na walipishana wiki tatu.nusura wamuue kwa presha.bado akang'ang'ania tuu na kuku.hii safari kaja na habari ya kuku bila kufuga.namuangalia tu maana ukijikausha anaanza kusemasema vimaneno vya kukera. NA unajua wazazi wetu hakuna namna nitamwambia anisikie.naamua kuacha tuKwanini usimpe hela akafuga hapo nyumbani, na Uzuri wa Dar soko lipo
Hata mimi mwaka jana kidogo kuku waniue kwa presha walikufa karibu wote nilikaa sana bila kuku, kwa hiyo kila biashara ina Changamoto zakeUtawaweza hawa wazazi wetu?nilimpa hela awamu ya kwanza.alijenga mabanda akanunua na vifaa kutahamaki hela imeisha.hapo hakuna kilichoendelea.awamu ya pili nikatuma tena hela akaiweka vifaranga 600.mabanda matatu@vifaranga 200.na walipishana wiki tatu.nusura wamuue kwa presha.bado akang'ang'ania tuu na kuku.hii safari kaja na habari ya kuku bila kufuga.namuangalia tu maana ukijikausha anaanza kusemasema vimaneno vya kukera. NA unajua wazazi wetu hakuna namna nitamwambia anisikie.naamua kuacha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Deci kiukweli kabisa wale wa mwanzo ndio waliifaidi watu wa mwishoni ndio waliishia kupigwaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ sista angu alipigwa huko Deci
Another DECi, D9. Mr. Kuku Wizi huu.Juzi kuna jamaa yangu kanipigia simu akawa ananieleza vitu sivielewi elewi.
Ni kitu kinaitwa Mr. Kuku Farms akidai ni mradi mkubwa wa ufugaji kuku una physical presence na ni kampuni iliosajiliwa ndio inaendesha huo mradi.
Yeye ameshawishika kuwekeza huko kwamba kuna faida nzuri compared na kuweka hela benki tu ikiwa baada ya miezi 3 unaweza draw 70% ya ulichowekeza na baada ya miezi sita una uwezo wa kuchota 100% ya pesa yako.
Kama tujuavyo kwamba mtu alieng'atwa na nyoka huwa haishi maseke hata anapotambaliwa na jani, basi lazma atarusha miguu tu.
Naomba kwa heshima na taadhima niambiwe na wadau wenzangu wajasiriamali kwa wafanyabiashara. Je, huu mradi ni halisi?
Ni business model gani wanatumia? Na je, kuna hiyo leverage ya kupelekea kutoa gawio kwa rates hizo kwa muda wanaodai wanaweza?
Kama kuna ambaye amepiga hela kupitia hao jamaa aje amwage terms zao na ushuhuda kuwa kapiga dough kweli.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ sista angu alipigwa huko Deci
Pole sana.mimi nilikosa la kusema.si unajua mzazi huwezi kumpa makavu.unamkaushia tuHata mimi mwaka jana kidogo kuku waniue kwa presha walikufa karibu wote nilikaa sana bila kuku, kwa hiyo kila biashara ina Changamoto zake
Deci kiukweli kabisa wale wa mwanzo ndio waliifaidi watu wa mwishoni ndio waliishia kupigwa
Mkuu DECI na CCM wapi na wapi Mkuu? Btw watu wa DECI pesa zenu zipo Biotii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu ni wavivuWatanzania tunapenda sana vitu vya mteremko sijui kwann
Huhitaji akili kubwa kujua kwamba hii ni deci mpya.Juzi kuna jamaa yangu kanipigia simu akawa ananieleza vitu sivielewi elewi.
Ni kitu kinaitwa Mr. Kuku Farms akidai ni mradi mkubwa wa ufugaji kuku una physical presence na ni kampuni iliosajiliwa ndio inaendesha huo mradi.
Yeye ameshawishika kuwekeza huko kwamba kuna faida nzuri compared na kuweka hela benki tu ikiwa baada ya miezi 3 unaweza draw 70% ya ulichowekeza na baada ya miezi sita una uwezo wa kuchota 100% ya pesa yako.
Kama tujuavyo kwamba mtu alieng'atwa na nyoka huwa haishi maseke hata anapotambaliwa na jani, basi lazma atarusha miguu tu.
Naomba kwa heshima na taadhima niambiwe na wadau wenzangu wajasiriamali kwa wafanyabiashara. Je, huu mradi ni halisi?
Ni business model gani wanatumia? Na je, kuna hiyo leverage ya kupelekea kutoa gawio kwa rates hizo kwa muda wanaodai wanaweza?
Kama kuna ambaye amepiga hela kupitia hao jamaa aje amwage terms zao na ushuhuda kuwa kapiga dough kweli.
Jamaa ni dobiSerikali imelala ktk hili. Mtu anakusanyaje PESA kwa watu? Anafuata utaratibu upi wa Kisheria? Kwanini asipeleke soko la hisa na mitaji? Kuna mchezo kama wakati wa DESI hapo kwa kivuli cha ufugaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiseme pimbi πππ,,,Sema mnyamakazi "ONTAFEX" aka "ONTARIO" kijana machachari kabisa aliekuja na hekaya zake za kumiliki mashamba makubwa na ndoto kubwa za kimaisha dunia nzima.Wajinga ndo waliwao. Nakumbuka tulivyotapeliwa forex na Pimbi