Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #61
Babu niko na maseke kinoma. Siez jiunga now. Nahisi watu watafyatuliwa soon 😂😂😂Sikia watoto wa mjini ikitokea mishe kama hii huwa wanajiunga ikiwa bado mbichiii ikiwa bado mpya wakati huo wanajaribubkuaminisha watu kwamba ni real so wana act real mipungabnjenje wanamwagabpesa balaa ili nyie muite wengine kwa ushuuda etcetc sasa basi ukishaona watu washakuwa wengiiii na watu kibao wanajiunga ujue wanakaribia kusepa so mm kama mshikaji wako nakwambiaje umeshachelewa miaka mitatu yote iliopita ulipaswa uwe umeshaingia saiv bomu linakaribia kuripuka mda sio mrefuu watasepa na kijiji cha watu wanasubiria tu mazuzu yajaee
Sent using Jamii Forums mobile app