Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,965
Aiseee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Chief huitaji kuwa na mwanasheria kujua utapeli. Juzi lati nimemtapeli mwanasheria kiboya tu [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Chief huitaji kuwa na mwanasheria kujua utapeli. Juzi lati nimemtapeli mwanasheria kiboya tu [emoji3]
Be uti kiki?Mimi mama yangu anaogopa maji balaa.hata kupanda meli hawezi.ila nilishangaa kusikia alipanda pantoni akaenda kigamboni kwenye mradi huo wa kuku bila kufuga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acheni tu
Sent using Jamii Forums mobile app
.Watu ebu muwe na mawazo chanya au hoja za msingi, ... tuanzie hapa. Biashara ya ufugaji na kilimo ni biashara nzuri ila zina risk kwny production na sio asset so hao wamewekeza kwny miundombinu ya kufanya huo mladi kwa maana ya vifaa mashamba na wafanyakazi so kinachotokea ni ww unatoa hela yako wanakuuzia vifaranga wanavyozalisha wenyewe na wanavifuga wenyewe apo apo kwao then vikikua wao watauza kuku wakishirikiana na ww ila mtagawana faida. Wao watafaidika katika kukuuzia vifaranga, kukuuzia chakula cha kukuza hao kuku ad wanakua na mwshon wanafaidika ktk faida ya mauzo ya kuku so apo ww unaokolewa gharama za kua na eneo na kujenga mabanda na kulipa wafanyakazi. Instort bajet yako ndio ndio ina cover idadi ya vifaranga na chakula chao ad wakikua na kuuzika
Sent from my iPhone using JamiiForums
Serikali imelala ktk hili. Mtu anakusanyaje PESA kwa watu? Anafuata utaratibu upi wa Kisheria? Kwanini asipeleke soko la hisa na mitaji? Kuna mchezo kama wakati wa DESI hapo kwa kivuli cha ufugaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama yangu aliniambia nimtumie hela anataka kufanya mradi wa kuku bila kufuga.nilishangaa nikamdodosa kwa kina naye anajiuma uma tu. Refer kipeperushi hiko labda nitapata mwangaza maana kaomba dola 500 za Canada.
Naomba mwangaza.
View attachment 1388373
Sent using Jamii Forums mobile app
uoga wako ndio umasikini wako, mradi upo, kuku wapo, wasipokulipa si unaenda hapo kigamboni kubeba kuku? wekeza wewe acha uoga
Hawa jamaa sijui wanapataje faida
Wanadai wanatoa 70% baada ya 4 month's, Halafu ukisubiri tena baada ya miezi 6 unapata 100% kama profit
Ukijumlisha hapo ni 170% faida kwa miezi 10 hiki ni kiasi kikubwa sana cha faida ukilinganisha na biashara yenyewe tena ya ufugaji kuku + Muda wa investment
Yaani mfano niwekeze million 10 ndani ya muda wa miezi 4 nitakuwa na million 17 nikiacha tena hiyo million 17 baada ya miezi 6 nitakuwa ninetengeneza million 34
Pia Instagram kule watu wanalalamika kuwa wana hide comment za baadhi ya watu, inaonekana kuna jambo hawataki kuliweka wazi.
Pia kwa experience yangu kwenye mambo kama haya wanaofaidika ni wale wanaowekeza mapema sana sana yaani sana kabla mambo hayajaharibika, ule muda ambao kampuni haijatengeneza faida kubwa ianze janja janja, ule muda kampuni inahangaika kutafuta watu unakuta wajanja wamewekeza wanakula faida.
Mpaka sasa Mr kuku ina miaka 3 na ukiangalia vizuri bado hawajapata faida kubwa ya kusema wakimbie ndio wako katika harakati za kupanua kampuni hii ni wazi kwamba wale waliowekeza miaka 2 nyuma bado wanapiga profit inaweza kuwachukua miaka 4 mbele mpaka kampuni kufirisika unaweza kuona jinsi gani profit watakayo tengeneza waliowahi kuiona fursa
Ukiona watu wamejaa sana ujue puto limejaa upepo linakaribia kupasuka huo muda ndio nyumbu unakuta wamejazana balaa wajanja wameshajitoa hapo ndio unasikia mara kampuni imefirisika wajanja wamekimbia na pesa.
Pia kwa wale watakao enda kuwekeza nawashauri someni mikataba vizuri maana wabongo wengi hawapendi kusoma pengine wengine hawajui umuhimu wa mikataba. Kunauwezekani mkubwa mikataba yao imejaa uhuni sana wa kulinda kampuni yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wekeza mkuu, jamaa alienipa hizo habari mpaka sasa yeye ameweka 4M[emoji16][emoji16][emoji16] "RISK FREE".
yaani hapo uhakika mzigo unaingia baada ya miezi 4 hadi 6..
Nitakuwa wa mwisho kuamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣 Kuna ma Motivator wanasema "Work smart. Not Hard!" nadhani muelekeo uko huku kwa sasa!Mwanadamu amaelaaniwa atakula kwa jasho yani we umekaa tu wenzio wakufugie kuku..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna ma Motivator wanasema "Work smart. Not Hard!" nadhani muelekeo uko huku kwa sasa!
Watu bana, yaani jambo linaonekana tu kwa macho ya kawaida kua hii ni Ponzi Scheme au Pyramid Scheme mtu bado unajiuliza maswali mara mbili mbili?
Hao wenye hiyo kuku farm kwa nini wasiuze kila walichonacho na wawashawishi ndugu zao wauze kila walichonacho wawekeze kwenye hiyo project wapige hela wawe familia tajiri zaidi? Au unadhani hao jamaa wa kuku farm wanawapenda sana kuliko wanavyowapenda ndugu zao? Kwamba waone fursa wasiwaambie ndugu zao waje kuwambia nyie? Uliwahi kuona wapi?
Kila siku humu tunatahadharisha kua ukiona unaitwa kwenye deal ujue wewe ndie deal, ukiona unaitwa kwenye fursa ujue wewe ndie fursa. Wazungu husema when the deal is too good think twice. Hakuna hela inapatikana kwa haraka hivyo.
Ilikuja D9, Deci, Qnet, One coin, sijui vitu gani watu wanapigwa kila siku lakini hawajifunzi.
Hao wa kuku farm wape muda mfupi utaona mada zao humu, ni jambo la muda tu.