Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuibia nini?Wewe ni MWIZI
Hawajui tu na mpaka saiv hela yenyewe inakaribia kuisha 😂😂Biashara imeshafanyika nyie mnaomshauri kwamba wizi sijui nini mnapoteza muda tuu.
Vipo vingine zaidi ya hivyo na vyote havina kazi MadameKiredio wewe ni mwizi mdogo wangu..!!
Kifaa km hiko kukosa kazi ni uongo..!!
Mkuu; Kwa nini unauza mali isiyo ya kwako?? Kwa wewe kukiona hapo home hakukifanyi kiwe ni mali yako. Huo ni Uporaji mkuu.Habari za asubuhi wadau
Kwa wale wajuzi wa vifaa vya umeme naombeni mnijuze hicho kifaa kinauzwa bei gani.
View attachment 3226501
View attachment 3226502
NEW
hiyo ni Main switchhii si mita ya umeme ama nimeona vibaya
Mkuu tayari nimeuza na hela imeisha.Mkuu; Kwa nini unauza mali isiyo ya kwako?? Kwa wewe kukiona hapo home hakukifanyi kiwe ni mali yako. Huo ni Uporaji mkuu.
Duh! Aisee! OK; Umefanyia kazi gani hela uliyopata??Mkuu tayari nimeuza na hela imeisha.
Mkuu hilo ni swala binafsi lakini imeenda sehemu salamaDuh! Aisee! OK; Umefanyia kazi gani hela uliyopata??
Vipi mkuu; na wewe umesalimika broo?Mkuu hilo ni swala binafsi lakini imeenda sehemu salama
Hakuna spana iliyo nishtua humu, zote nyepesi na mimi nimekabia kwa juu kabisa 😂😂Huu uzi kiboko muuzaji anajitahidi kujibu kila reply 😁😁😁 hata baada ya biashara kufanyika yeye anajibu tu ,anatoa ufafanuzi kwa kila hoja.Ila spana kazipata na yeye hakati tamaa yupo tu.
Unajipongeza halafu utaenda kuuza na hivyo vingine pia?Hakuna spana iliyo nishtua humu, zote nyepesi na mimi nimekabia kwa juu kabisa 😂😂
Vingine vipi?Unajipongeza halafu utaenda kuuza na hivyo vingine pia?
Vingine vipi?
Ah we. Si ulisema hapo juu #144 ..Vipo vingine zaidi ya hivyo na vyote havina kazi Madame.Vipo vingine zaidi ya hivyo na vyote havina kazi Madame
SawaMkuu tayari nimepata mzee mmoja hapa street kanipa hela.