kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
- Thread starter
- #101
Mkuu elewa hicho kifaa kimekaa store miaka sita, aliye kinunua hayupo na nilishleta uzi humu kuhusu habari zake.Mkuu ulikinunua chanini? Kama hukununua wewe tafadhali omba idhini kwa aliye kinunua.