Wadau naomba mnijuze hiki kifaa kinauzwa bei gani

Wadau naomba mnijuze hiki kifaa kinauzwa bei gani

Yani hujui kinaitwaaje, kinauzwaje, na unataka kuuza, sijaona mwizi fyongo kama wewe. Kama ni mpya tafuta mtu anaetaka kufanya wiring utapata hela nzuri zaidi.
 
Yani hujui kinaitwaaje, kinauzwaje, na unataka kuuza, sijaona mwizi fyongo kama wewe. Kama ni mpya tafuta mtu anaetaka kufanya wiring utapata hela nzuri zaidi.
Ni mpya kabisa mkuu na kweli nilikuwa sijui be yake, sasa najua na natafuta mto anipe hela, kama unaweza saidia mteja kupatikana itakuwa vizuri zaidi.
 
Au nikurahisishie nenda duka la vifaa vya umeme hao wanawajua mafundi umeme wengi utauza haraka sana..... Au tafuta fundi umeme yeyote.
 
Wahuni sio watu wanatangaza kuuza mali ya nyumbani JF daah..nilijua Fundi kataja bei kubwa mzala anataka kuing'oa aisee mkuu usiitoe hapa SA inauzwa Tsh 43,000 nikuletee hii uuze upate maji na unirudishie maji yangu au ndio utakimbia mazima maana kama ulitaka kutoa ya home si balaa hilo..
 
Back
Top Bottom