kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
- Thread starter
- #21
Vipi kama mimi ndyo mzee mwenyewe nauza vitu vyanguUnauza vitu vya wazee wako kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kama mimi ndyo mzee mwenyewe nauza vitu vyanguUnauza vitu vya wazee wako kijana
Mbona vikwazo vingi 😂Una risiti yake ya manunuzi?
Acha izo bhn70k njoo Kimara
Imekaa poa ila ulinunua bila kujua bei ulio nunuaVipi kama mimi ndyo mzee mwenyewe nauza vitu vyangu
Umeanza kuiba vifaa vya ndani na kuuza?;Sawa mkuu bas ngoja nitafute mtu nimuuzie hata laki maana kimekaa tu hapa hom bila kazi yoyote.
Mbona mapema sana kaka hata mwezi haujaisha?Absolutely
Bei nimeshajua ni 150k, mimi nauza mwisho 70k kama unataka tufanye biasharaImek aa poa ila ulinunua bila kujua bei ulio nunua
Wanywa visungura hawana maana kabisa kuishi nao. Sass ona anaanza kuiba vifaa vya ndani anauza.kwanini unauza kifaa ambacho mnakitumia hapo kwenu?
Noma sanaHatari sana
Acha kuvuta BangiHabari za asubuhi wadau
Kwa wale wajuzi wa vifaa vya umeme naombeni mnijuze hicho kifaa kinauzwa bei gani.
View attachment 3226501
View attachment 3226502
Kifaa kilinunuliwa miaka kadhaa iliyo pita, risiti ilisha poteaKuwa na risiti halali ndo uuze
Mimi sivuti Bangi navuta SubraAcha kuvuta Bangi
Kifaa kilinunuliwa miaka kadhaa iliyo pita, risiti ilisha potea
Njoo na 70 mkuuNipo kibamba nije kimara ipi nipo na 50000 hapa
Hujakosea mkuu ndyo yenyewehii si mita ya umeme ama nimeona vibaya