kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
- Thread starter
- #41
Mkuu hapo kipo complitembona hakijakamilika sasa, main switch iko wap?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapo kipo complitembona hakijakamilika sasa, main switch iko wap?
Ok sawa nimeionaMkuu hapo kipo complite
Mkuu hii kitu ipo hom mwaka wa tano sasa, hakina matumizi yoyote kinapigwa na vumbi tu storeIla tuwe wakweli hii kitu umeiiba na wewe ni fundi umeme, ..umemuibia boss wako si ndio?....
Sawa kwa nini ukiuze sasa, umepata ridhaa ya mmiliki ambae bila shaka ni baba yakoMkuu hii kitu ipo hom mwaka wa tano sasa, hakina matumizi yoyote kinapigwa na vumbi tu store
Kwa sasa kipo chini ya himaya yanguSawa kwa nini ukiuze sasa, umepata ridhaa ya mmiliki ambae bila shaka ni baba yako
Mkuu mali mpya na safi kabisa, jikombe kombe upate nikuachieHiko kifaa ningekua na hela ya chapa ningekibeba.
Mpaka sasa hakuna mtu ulie mpataMkuu mali mpya na safi kabisa, jikombe kombe upate nikuachie
Bado mkuu, wanasema 50 lakini mimi nataka angalau 70Mpaka sasa hakuna mtu ulie mpata
Usipopata mtu wala usihangaike. Mimi kwangu hiko muhimu sana. Subiri soon nakibeba. Issue umekuja nishanunulia nyumba mbili hiko, safi sana kwa wajenzi wa nyumba.Mkuu mali mpya na safi kabisa, jikombe kombe upate nikuachie
Sawa mkuu tutapeana updates kupitia uzi huu, ukiwa tayari mimi nakuletea ulipo.Usipopata mtu wala usihangaike. Mimi kwangu hiko muhimu sana. Subiri soon nakibeba. Issue umekuja nishanunulia nyumba mbili hiko, safi sana kwa wajenzi wa nyumba.
Niko nje kidogo ila soon nitamtuma kijana hapo akukwapue.Sawa mkuu tutapeana updates kupitia uzi huu, ukiwa tayari mimi nakuletea ulipo.
Sawa mkuuNiko nje kidogo ila soon nitamtuma kijana hapo akukwapue.
Nimependa majibu yako kwenye huu uzi wako....Sawa mkuu
Kijana katuliza akili aisee😆Nimependa majibu yako kwenye huu uzi wako....
Hongera
Saaaaana....Ameshawajua wana JF na majibu yao..Kijana katuliza akili aisee😆
Mkuu kwani wewe huna site nikupe mali hii kwa bei chee 😂Kwamba kijana ndio huyo kaiba kwa wazazi? Dah ila comments za wana sio paoa asee🤣🤣🤣🤣😍
View attachment 3226539
Mimi nataka hela watu wanaleta mambo ya kidwanziNimependa majibu yako kwenye huu uzi wako....
Hongera