Wadau naomba mnijuze hiki kifaa kinauzwa bei gani

Wahuni sio watu wanatangaza kuuza mali ya nyumbani JF daah..nilijua Fundi kataja bei kubwa mzala anataka kuing'oa aisee mkuu usiitoe hapa SA inauzwa Tsh 43,000 nikuletee hii uuze upate maji na unirudishie maji yangu au ndio utakimbia mazima maana kama ulitaka kutoa ya home si balaa hilo..
Mkuu hiyo ni Mpya kabisa angalia vizuri, bei ya mwisho nauza 70.

NOTE: siuzii shida, nauza kwasababu kipo kinapigwa na vumbi bila matumizi yoyote.
 
Wahuni sio watu wanatangaza kuuza mali ya nyumbani JF daah..nilijua Fundi kataja bei kubwa mzala anataka kuing'oa aisee mkuu usiitoe hapa SA inauzwa Tsh 43,000 nikuletee hii uuze upate maji na unirudishie maji yangu au ndio utakimbia mazima maana kama ulitaka kutoa ya home si balaa hilo..
Naona master unatafuta point 3 kisela ..
 
Back
Top Bottom