kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
- Thread starter
- #121
Ni mpya kabisa bado haijatobolewa wala kutumiaka, mimi ukinipa 100k sio mbaya.Ni mpya au used? Wewe unataka ngapi ili Mimi nijue naipiga vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mpya kabisa bado haijatobolewa wala kutumiaka, mimi ukinipa 100k sio mbaya.Ni mpya au used? Wewe unataka ngapi ili Mimi nijue naipiga vipi
Mission home, dah......! Vijana wetu,mhh....!Sawa mkuu bas ngoja nitafute mtu nimuuzie hata laki maana kimekaa tu hapa hom bila kazi yoyote.
Kazi kwelikweliMission home, dah......! Vijana wetu,mhh....!
Kikubwa hatuibi basi biashara ni biashara tuMtauza mpaka Taa za Treni safari hii
Hiyo Treni tutaitoa wapi mkuu 😂Mtauza mpaka Taa za Treni safari hii
PoaNi mpya kabisa bado haijatobolewa wala kutumiaka, mimi ukinipa 100k sio mbaya.
Taa za zamani zipo karakana zao 😄 🤣Hiyo Treni tutaitoa wapi mkuu 😂
Mkuu uwizi ni mbaya! Unaweza kukubadili jina na ukawa MarehemuTaa za zamani zipo karakana zao 😄 🤣
Kuna jamaa aliiba miaka ya 70
Kweli kabisaMkuu uwizi ni mbaya! Unaweza kukubadili jina na ukawa Marehemu
Afu mm niuze ngapi. Hiyo kwanza hujaweka kuwa n brand gani tukajua70k njoo Kimara
Mkuu tayari nimepata mzee mmoja hapa street kanipa hela.Afu mm niuze ngapi. Hiyo kwanza hujaweka kuwa n brand gani tukajua
Wizi huo sasa, ndo kwanza miezi miwili toka mgraduate mshaanza udokozi 😹😹Sawa mkuu bas ngoja nitafute mtu nimuuzie hata laki maana kimekaa tu hapa hom bila kazi yoyote.
Kaanza na hiyo kwanza 😹mbona hakijakamilika sasa, main switch iko wap?
Hakuna wizi wala mwizi Madam, nimeiokoa tu hiyo bidhaa isiendelee kupigwa na vumbi store.Wizi huo sasa, ndo kwanza miezi miwili toka mgraduate mshaanza udokozi 😹😹
Hiyo sio mita MadamKaanza na mita kwanza 😹
Huyu ni mwizi, kweli JF ina kila aina ya watu mpk wezi wapo.!!!
Kiredio wewe ni mwizi mdogo wangu..!!Hakuna wizi wala mwizi Madam, nimeiokoa tu hiyo bidhaa isiendelee kupigwa na vumbi store.
Acha wizi, km ni mali yako ulikuja kuuliza vipi humu? Kwahiyo ulinunua kitu usichokijua? Hiyo ni main switch ilikuwa typing errorHiyo sio mita Madam
Pia Naweza kusema Jf inawatu wakurupukaji wengi design yako...