Wadau naomba mnijuze hiki kifaa kinauzwa bei gani

Huu uzi kiboko muuzaji anajitahidi kujibu kila reply 😁😁😁 hata baada ya biashara kufanyika yeye anajibu tu ,anatoa ufafanuzi kwa kila hoja.Ila spana kazipata na yeye hakati tamaa yupo tu.
 
Hakuna spana iliyo nishtua humu, zote nyepesi na mimi nimekabia kwa juu kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…