mjasiriamali mdogo
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 258
- 110
Niliikubali six flying dragon kumbe ipo pacha wake Gwanggaeto....hebu ngoja kidogo niitafute🧑🦯🧑🦯🧑🦯Wadau natafuta seasons zenye ladha kama hizi;
Six Flying Dragon na Gwaggaeto, zenye siasa na mapigano kwa wingi.
View attachment 2779900
Hili jina lipo sahihi au......"symaster"Tafuta symaster utanishukuru🙏
Mbwembwe nyingi utakuta ni kabwela asie na nyuma wala mbele.Watu wazima bado wanaongelea series wakati wengine tunataka masaa zaidi ya 24 in a day. But to each their own.
Warrior bark dong so na Rebel tayari.Nenda dramacool
Check worrious baek dong so utakuja unishukuru baadae
Jaribu kucheck na Yi san
Kabla ya hizo mbili Anglia Leber theft of the people 2017 ya Hong Gilidong hatari nanusu
Usisahau kuja kunishukuru naitwa mume wa soseono
Brothers s4 utaikubali mzee[emoji91]Wadau natafuta seasons zenye ladha kama hizi;
Six Flying Dragon na Gwaggaeto, zenye siasa na mapigano kwa wingi.
View attachment 2779900
hawa watoto wajaa utoto sanaWadau natafuta seasons zenye ladha kama hizi;
Six Flying Dragon na Gwaggaeto, zenye siasa na mapigano kwa wingi.
View attachment 2779900
Nenda nkiri.comWakuu anaejua website ya kuipata Deep Rooted Tree anisaidie
Nmeimaliza hii six flying dragons
Nmeiona mkuu shukraniNenda nkiri.com
Season ni kitu gani?Wadau natafuta seasons zenye ladha kama hizi;
Six Flying Dragon na Gwaggaeto, zenye siasa na mapigano kwa wingi.
View attachment 2779900
Hii nmeona trela lake tu dadeki ni moto wa kuotea mbali nastop hii Tree with Deep Roots kwanza ,naanza na Arthdal ChroniclesTizama Arthdal Chronicles....!
One of the best Korean series....!
Sichoki kuirudia..