Wadau natafuta season zenye hekaheka mwanzo mwisho

Wadau natafuta season zenye hekaheka mwanzo mwisho

mjasiriamali mdogo

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
258
Reaction score
110
Wadau natafuta series zenye ladha kama hizi;

Six Flying Dragon na Gwaggaeto, zenye siasa na mapigano kwa wingi.

CYMERA_20231008_194650.jpg
 
Nenda dramacool

Check worrious baek dong so utakuja unishukuru baadae

Jaribu kucheck na Yi san

Kabla ya hizo mbili Anglia Leber theft of the people 2017 ya Hong Gilidong hatari nanusu

Usisahau kuja kunishukuru naitwa mume wa soseono
 
Unaijua THE SECRET MISSION?? Mle ni kisanga tu plus comedy za yule mjinga kiduku.

Kwa ufupi ile tambala halichoshi
 
Watu wazima bado wanaongelea series wakati wengine tunataka masaa zaidi ya 24 in a day. But to each their own.
Mbwembwe nyingi utakuta ni kabwela asie na nyuma wala mbele.
Kula yake ipo miguuni mwake.
Kujidai muda hauitoshi na kujifanyisha ubize kumbe huna lolote.
Maisha ni mipango.
 
Tizama Arthdal Chronicles....!
One of the best Korean series....!
Sichoki kuirudia..
 
Nenda dramacool
Check worrious baek dong so utakuja unishukuru baadae
Jaribu kucheck na Yi san
Kabla ya hizo mbili Anglia Leber theft of the people 2017 ya Hong Gilidong hatari nanusu
Usisahau kuja kunishukuru naitwa mume wa soseono
Warrior bark dong so na Rebel tayari.
Hii "Yi San" ni mkono, mapanga na mishale au ni mapenzi na siasa Tu.?
 
Wakuu anaejua website ya kuipata Deep Rooted Tree anisaidie
Nmeimaliza hii six flying dragons
 
Tizama Arthdal Chronicles....!
One of the best Korean series....!
Sichoki kuirudia..
Hii nmeona trela lake tu dadeki ni moto wa kuotea mbali nastop hii Tree with Deep Roots kwanza ,naanza na Arthdal Chronicles
 
Back
Top Bottom