Wadau niambieni, nitapigaje kura wakati naidai serikali?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
Mimi nafanya kazi za serikali.
Nalipa kodi zote, iwe za TRA, NSSF, WCF, OSHA,FIRE, WMA, Weights and Measures, Hali ya Hewa, City Levy,
Achana na kodi za maisha kama Fuel Levies, Umeme, Kodi ya Majengo n.k.

Wabunge wamepiga kelele kwa niaba yetu lakini ni kama kuongea na jiwe.
Wakati huo huo serikali inatamba wamevuka viwango vya kukusanya kodi.

Hapo ndo nakosa amani na kuchanganyikiwa.
Naidai serikali kwa zaidi ya mwaka mmoja mamilioni.
Msukumo wa kuwapigia kura nitautoa wapi wakati nawadai?
Halafu mi ni kada!
 
Mimi nafana kazi za serikali.
Nalipa kodi zote, iwe za TRA, NSSF, WCF, OSHA,FIRE, WMA, Weights and Mwasures, Hali ya Hewa, City Levy,
Achana na kodi za maisha kama Fuel Levies, Umeme, Kodi ya Majengo n.k.

Wabunge wamepiga kelele kwa niaba yetu lakini ni kama kuongea na jiwe.
Wakati huo huo serikali inatamba wamevuka viwango vya kukusanya kodi.

Hapo ndo nakosa amani na kuchanganyikiwa.
Msukumo wa kuwapigia kura nitautoa wapi wakai nawadai?
Halafu mi ni kada!
Nyie wahandisi wazawa ndio mnafuatia kwa kuonewa na Wana CCM. Wanaanza walimu na Polisi, kisha mnafuatia wahandisi wazawa
 
Nakumbuka mjomba wangu alikuwa anachukua hizi kandarasi kipindi cha nyuma aisee, kama hakufariki kipindi kile basi atakufa kwa magonjwa mengine na sio kisukari wala presha.
 
Mimi nafana kazi za serikali.
Nalipa kodi zote, iwe za TRA, NSSF, WCF, OSHA,FIRE, WMA, Weights and Measures, Hali ya Hewa, City Levy,
Achana na kodi za maisha kama Fuel Levies, Umeme, Kodi ya Majengo n.k.

Wabunge wamepiga kelele kwa niaba yetu lakini ni kama kuongea na jiwe.
Wakati huo huo serikali inatamba wamevuka viwango vya kukusanya kodi.

Hapo ndo nakosa amani na kuchanganyikiwa.
Naidai serikali kwa zaidi ya mwaka mmoja mamilioni.
Msukumo wa kuwapigia kura nitautoa wapi wakati nawadai?
Halafu mi ni kada!
Karibu NRNE.
 
Inasikitisha kwa kweli kuona mtu ananunua magoli ya simba na yanga huku akishindwa kulipa arreas ya laki Sita tu. Kila siku tunasumbuliwa leteni vilelezo tuwalipe miazi imepita mpaka bunge LIMEVULUGWA
 
Inasikitisha kwa kweli kuona mtu ananunua magoli ya simba na yanga huku akishindwa kulipa arreas ya laki Sita tu. Kila siku tunasumbuliwa leteni vilelezo tuwalipe miaka motano Sasa! Siasa ni uhuni tu!
 
Back
Top Bottom