Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
- #21
NRNE siwezi kushiriki maana swala hili ni la UKWELI, UWAZI na UWAJIBIKAJI wa serikali, na si la kisiasa.Karibu NRNE.
Watu tunafilisiwa!
NRNE siwezi kushiriki maana swala hili ni la UKWELI, UWAZI na UWAJIBIKAJI wa serikali, na si la kisiasa.Karibu NRNE.
😂😂😂😂Deni la Taifa linapaswa kutamkwa kwa lugha zote lakini si kwa Kiswahili. Kiswahili kinafanya deni lionekane kubwa.
Inasikitisha kama serikali haiaminiki, no confidence.Yaani mpaka najuta kwa nini nimechukua kandarasi za GoT.
Serikali inatonea miaka yote.bado makato ya miamala na benki
Makandarasi wengi wameanza kukataa kazi za serikali ambazo hazina malipo.Inasikitisha kama serikali haiaminiki, no confidence.
Hili tatizo lilikuwepo miaka mingi iliyopita, misingi ya kutoa kazi na malipo ya kazi imekuwa pata potea.
Kama serikali haiaminiki sijui inakuwaje?
Nafahamu wafanyabiashara wawili ambao walikuwa wanahudumia serikali mmoja vyakula mashuleni, mwingine ni supplier wa vifaa vya maofisini aisee kilichowakuta hawana hamu na wanapofuatilia wanaambiwa wasiwe na wasiwasi malipo yao yameingia kwenye deni la taifa na serikali huwa haimrushi mzabuni italipa tu kama sio miaka hii basi miaka ijayo!!!Mimi nafanya kazi za serikali.
Nalipa kodi zote, iwe za TRA, NSSF, WCF, OSHA,FIRE, WMA, Weights and Measures, Hali ya Hewa, City Levy,
Achana na kodi za maisha kama Fuel Levies, Umeme, Kodi ya Majengo n.k.
Wabunge wamepiga kelele kwa niaba yetu lakini ni kama kuongea na jiwe.
Wakati huo huo serikali inatamba wamevuka viwango vya kukusanya kodi.
Hapo ndo nakosa amani na kuchanganyikiwa.
Naidai serikali kwa zaidi ya mwaka mmoja mamilioni.
Msukumo wa kuwapigia kura nitautoa wapi wakati nawadai?
Halafu mi ni kada!
Ni serious mkuu, watu tunauziwa dhamana zetu na mabenki.Kawaroge ulipwe Kisha pita hiviiii....
Serikali haijali wananchi wake.Nafahamu wafanyabiashara wawili ambao walikuwa wanahudumia serikali mmoja vyakula mashuleni, mwingine ni supplier wa vifaa vya maofisini aisee kilichowakuta hawana hamu na wanapofuatilia wanaambiwa wasiwe na wasiwasi malipo yao yameingia kwenye deni la taifa na serikali huwa haimrushi mzabuni italipa tu kama sio miaka hii basi miaka ijayo!!!
Ni serious mkuu, watu tunauziwa dhamana zetu na mabenki.
I believe in Good Governance, Utawala Bora.Im serious as well, tafuta shehe mazuri akupige duah ukipiga simu moja TU unasukumiwa mzigo! Zubaa...utauziwa mpk nyumba unayoishi (which has happened to many wa aina yako)
Kama nchi hii inabidi kuwaona masangoma ndio haki ipatikane , basi tumekwisha.Im serious as well, tafuta shehe mazuri akupige duah ukipiga simu moja TU unasukumiwa mzigo! Zubaa...utauziwa mpk nyumba unayoishi (which has happened to many wa aina yako)