Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Nyie wahandisi wazawa ndio mnafuatia kwa kuonewa na Wana CCM. Wanaanza walimu na Polisi, kisha mnafuatia wahandisi wazawaMimi nafana kazi za serikali.
Nalipa kodi zote, iwe za TRA, NSSF, WCF, OSHA,FIRE, WMA, Weights and Mwasures, Hali ya Hewa, City Levy,
Achana na kodi za maisha kama Fuel Levies, Umeme, Kodi ya Majengo n.k.
Wabunge wamepiga kelele kwa niaba yetu lakini ni kama kuongea na jiwe.
Wakati huo huo serikali inatamba wamevuka viwango vya kukusanya kodi.
Hapo ndo nakosa amani na kuchanganyikiwa.
Msukumo wa kuwapigia kura nitautoa wapi wakai nawadai?
Halafu mi ni kada!
Yaani mpaka najuta kwa nini nimechukua kandarasi za GoT.Nyie wahandisi wazawa ndio mnafuatia kwa kuonewa na Wana CCM. Wanaanza walimu na Polisi, kisha mnafuatia wahandisi wazawa
Mama yao zuzu sanaDeni la Taifa linapaswa kutamkwa kwa lugha zote lakini si kwa Kiswahili. Kiswahili kinafanya deni lionekane kubwa.
Pole sana broYaani mpaka najuta kwa nini nimechukua kandarasi za GoT.
Ila nyie!😄😄Deni la Taifa linapaswa kutamkwa kwa lugha zote lakini si kwa Kiswahili. Kiswahili kinafanya deni lionekane kubwa.
Akhsante sana ndugu.Pole sana bro
Kwamba Aliyesuka Anataka Kutuaminisha Kuwa Bora Tusi La Kiingereza Kuliko La Kiswahili.....Deni la Taifa linapaswa kutamkwa kwa lugha zote lakini si kwa Kiswahili. Kiswahili kinafanya deni lionekane kubwa.
Mama wameshidwa kabisa kulipa wakandarasi sio Tanroad wala TaruraYaani mpaka najuta kwa nini nimechukua kandarasi za GoT.
Karibu NRNE.Mimi nafana kazi za serikali.
Nalipa kodi zote, iwe za TRA, NSSF, WCF, OSHA,FIRE, WMA, Weights and Measures, Hali ya Hewa, City Levy,
Achana na kodi za maisha kama Fuel Levies, Umeme, Kodi ya Majengo n.k.
Wabunge wamepiga kelele kwa niaba yetu lakini ni kama kuongea na jiwe.
Wakati huo huo serikali inatamba wamevuka viwango vya kukusanya kodi.
Hapo ndo nakosa amani na kuchanganyikiwa.
Naidai serikali kwa zaidi ya mwaka mmoja mamilioni.
Msukumo wa kuwapigia kura nitautoa wapi wakati nawadai?
Halafu mi ni kada!
Uoo sahihiukipiga kura kura yako haitobadili chochote maana mshindi tayari ashapangwa
Hii inafanya serikali kuwa kama matapeli fulani hivi!Yaani mpaka najuta kwa nini nimechukua kandarasi za GoT.
Sasa tuchague wanasiasa wanaotufilisi au?Kura ni kwa ajili ya wanasiasa siyo kwa ajili yako..