Wadau niambieni, nitapigaje kura wakati naidai serikali?

Inasikitisha kama serikali haiaminiki, no confidence.
Hili tatizo lilikuwepo miaka mingi iliyopita, misingi ya kutoa kazi na malipo ya kazi imekuwa pata potea.
Kama serikali haiaminiki sijui inakuwaje?
Makandarasi wengi wameanza kukataa kazi za serikali ambazo hazina malipo.
 
Nafahamu wafanyabiashara wawili ambao walikuwa wanahudumia serikali mmoja vyakula mashuleni, mwingine ni supplier wa vifaa vya maofisini aisee kilichowakuta hawana hamu na wanapofuatilia wanaambiwa wasiwe na wasiwasi malipo yao yameingia kwenye deni la taifa na serikali huwa haimrushi mzabuni italipa tu kama sio miaka hii basi miaka ijayo!!!
 
Serikali haijali wananchi wake.
 
Im serious as well, tafuta shehe mazuri akupige duah ukipiga simu moja TU unasukumiwa mzigo! Zubaa...utauziwa mpk nyumba unayoishi (which has happened to many wa aina yako)
I believe in Good Governance, Utawala Bora.
Sasa naona Utawala Bora una matatizo.
 
Im serious as well, tafuta shehe mazuri akupige duah ukipiga simu moja TU unasukumiwa mzigo! Zubaa...utauziwa mpk nyumba unayoishi (which has happened to many wa aina yako)
Kama nchi hii inabidi kuwaona masangoma ndio haki ipatikane , basi tumekwisha.
Vile vile basi, mashehe waweke dua hospitali/barabara/madaraja zijengeke, shule zilishwe kimiujiza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…