Wadau tumvike Dully Sykes Mataji Haya

Usione nakuzinguaaaa
Me nakupenda weeee
Yale mapenz uliyonipa ndo yanafanya nakusumbuaaa.

Unaitwaje huu wimbo?
 
kuna hii nyingine alimuimbia binti alryekua anamtaka wakati bado binti yuko masomoni, akawa anamsisitiza asome. Inaitwaje ile, jina limenitoka.

Baby candy
 
Usione nakuzinguaaaa
Me nakupenda weeee
Yale mapenz uliyonipa ndo yanafanya nakusumbuaaa.

Unaitwaje huu wimbo?

unaitwa nakupendaa
naomba nihurumieeeeeee nakupenda weeeeee
mwenezimungu kanionyesha na wewe ndo malaika wanguuuu
nishike japo mkonooooo tuwe pamojaaa


nnaupenda huuu wimbo acha
 
unaitwa nakupendaa
naomba nihurumieeeeeee nakupenda weeeeee
mwenezimungu kanionyesha na wewe ndo malaika wanguuuu
nishike japo mkonooooo tuwe pamojaaa


nnaupenda huuu wimbo acha

Nice song Hili. Daah
 
Jamaa kabaki kwenye gemu kwa muda mrefu. Big up kwa uwezo wake wa kusoma soka ka mziki linahitaji nini kwa muda gani.
 

Usisahau kua yeye ndie alie anzinsha issue za kuimba a. K. A kubana pua ndio wakafuata akina TID, qchif, nuruerly, mr. Paul, baazi ya wasanii wa daz nundazna wengine wengi.
Wakati huo watu walikua wana rap tu a. K. A hip hop... Ukiondoa akina nature na gangwe mob waliokua wakiimba rap katuni..
... Daah wee jamaa umeniku. Busha kitambo sana.... Huyu jamaaa katuimbisha sana skuli.
 

he he he he..., thanx., back in dayz..
Enzi za analogy. Wimbo mpya tulikua mpaka tuje dar ndo twausikia.,, radio one.
 
Finally at last ,my best artist recognised
 
Nimefurahi kuona kuna watu wanamjua na kumuheshimu huyu legendary...

Tatizo wa Tz tunakunja sana hatupendi kuona flani kapata ila tuzo za heshima zinastahili kuwepo sababu kuna watu wanastaahili kupewa.
 
Mimi napenda sana music,kuna nyimbo zikipigwa lazima ujue uwepo wangu,ngwair nae aaa
 
noma sana..
 
Saiz anaa ngoma yake moja inaitwa yono,kaimba kimakonde tu umo ndan anamsifia changu
 
dully ..ndiye msanii aliyenifanya haswaaaaa niupende music " .....nilikuwa nikimsikiliza tangu aliposhirikishwa na taqwa..kisha akajakutoa nyimbo ya julieta " Jamaa ana talent sana aisee...
 
nitarudi kesho kuelezea vyema mahaba yangu kwa huyu nguli "" ila naomba niwa kumbushe ...kuhusu uwepo wa kibao chake cha Tamika""
 
Nawacheki...afu nachekA ihiiiii...

Ok

Anyway...

Mimi kama OWNER..... au MMILIKI wa Uzi huu..mnAniambiaje...

Maanaa... Idea hii ilitoka huku.. Clouds Wakapiga hela..

So mmnasemaje!!!???
 
Ouhh...

Aisee nashukuru...

Sema tu yuko kwA mwezi mgumu..wa toba..

Ningemcheki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…