Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeacha wa "sikufahamu"
Kama amaekutuma ufanye promo JF kachemka; Dully alikuwa anaimba nyimbo miaka ya nyuma sasa hivi anaimba cartoon hazina maana wala mantiki; shikide ni nini? Togolo ni nini? Maneno ambayo hata kwenye kamusi hayapo. Shame!!

Dully kweli mkali...songi lake la tamika nalipendaga hadi leo
Dully sio pesa hadi apendwe na kila mtuSiriously huyu jamaa sipendi nyimbo zake na yeye mwenyewe.
Kitu kimoja huwa linajilegeza kama shoga wakati ana mwili wa hip hop.
My comments though i stand to be corrected.
acha tuuu mzuri sana ule na huu hapa unaitwa kupenda nao bonge la songi
lalalaaaaaaa laaaaaaaaaa laaaaaaaaa
kuna hii nyingine alimuimbia binti alryekua anamtaka wakati bado binti yuko masomoni, akawa anamsisitiza asome. Inaitwaje ile, jina limenitoka.
Ila nilisikiaga alikula mke wa mtu akadakwa nayeye akaliwaKadumu saana. Lakin kikubwa hana habari chafu. Sijawah sikia.
He deserves RESPECT.
Dully kweli mkali...songi lake la tamika nalipendaga hadi leo
Ila nilisikiaga alikula mke wa mtu akadakwa nayeye akaliwa