Wadau tumvike Dully Sykes Mataji Haya

Wadau tumvike Dully Sykes Mataji Haya

daaaahh huyu jamaa ni level za mbele kabisa !
 
Kama amaekutuma ufanye promo JF kachemka; Dully alikuwa anaimba nyimbo miaka ya nyuma sasa hivi anaimba cartoon hazina maana wala mantiki; shikide ni nini? Togolo ni nini? Maneno ambayo hata kwenye kamusi hayapo. Shame!!
 
Kazi zake unazionaje lakini??
 
Kama amaekutuma ufanye promo JF kachemka; Dully alikuwa anaimba nyimbo miaka ya nyuma sasa hivi anaimba cartoon hazina maana wala mantiki; shikide ni nini? Togolo ni nini? Maneno ambayo hata kwenye kamusi hayapo. Shame!!

dah !! Mungu Mweusi .

Jina lako linasanifu.

Sijatumwa na mtu, ni uelewa wangu tu wa mziki wa bongo ulipotoka, ulipo na unakoelekea. Na nani wanastahili heshima.
 
Last edited by a moderator:
na nyambizi je! eti kipindi kile nyambizi ilikua inaonekana nyimbo ya matusi wakati sasa vijana wanaimba na ku shoot ngono kabisa kweli tumetoka mbali

kipindi kileee., amekomaa sana Dully.
Aliokua nao wengi sasa chalii,,
 
Dully kweli mkali...songi lake la tamika nalipendaga hadi leo
 
basi sawaa hata me nampenda huyu mtu nyimbo zake zote zilikuwa kichwani..hususan nyimbo ya leah
 
Siriously huyu jamaa sipendi nyimbo zake na yeye mwenyewe.

Kitu kimoja huwa linajilegeza kama shoga wakati ana mwili wa hip hop.

My comments though i stand to be corrected.
 
Dully sio pesa hadi apendwe na kila mtu
 
Siriously huyu jamaa sipendi nyimbo zake na yeye mwenyewe.

Kitu kimoja huwa linajilegeza kama shoga wakati ana mwili wa hip hop.

My comments though i stand to be corrected.

Et you stand to be corrected.., nani aku correct sasa.?
 
This is dully sykes aka Mr Misifa, this is dully sykes chao..................
 
kuna hii nyingine alimuimbia binti alryekua anamtaka wakati bado binti yuko masomoni, akawa anamsisitiza asome. Inaitwaje ile, jina limenitoka.

Baby Candy, bonge la dude!! Mimi kwenye handsome, Salome na Julietha!!!
 
Dully kweli mkali...songi lake la tamika nalipendaga hadi leo

Rudi nyumbani Tamikaa...!! Kwani watoto wanatesekaaa oooh!!! oooh!! nikikumbuka tulikotooka roho yangu inatesekaa aaaah!! aaah!!

Sikutenda haki kuusahau huu wimbo kabisa
 
Back
Top Bottom