Wadau, vazi la dera linafaa kwa mpenzi/mke wa mtu?

Wadau, vazi la dera linafaa kwa mpenzi/mke wa mtu?

Binafsi huwa siyavai. Naona ni vazi la kitamaduni zaidi kwa watu wa pwani na wanawake wa kiislamu.
 
Ukitembea na mkeo kavaa dera tarajia kusikia mkeo akiitwa chura
 
Kwa hiyo mkuu wewe umewaona wanaosasambua tu uswahilini na madela ila wanaojiuza kwenye maklabu na madanguro na jeans zao hujawaona????
Kati ya vazi la dela na suruali kwa mwanamke ni lipi lenye heshima kwenye jamii????
Swali la akili sana hili,naunga mkono
 
Mkuu una uhakika ni dera? Au kijola? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dera vazi zuri sana tena la heshima."Hasa yale ya msomali"
ila vaa na underskirt ndani vinginevyo unakua tatizo;
NB: Nguo yoyote akivaa mtu wa hovyo hovyo inaonekana hovyo hata akiwa shemasi madhabahuni
 
Vazi la dera ni zuri mwanamke akivaa na kitu kingine ndani,,,
Lakini akivaa dera bila kuvaa kitu lingine ndani ni mtihani mzito Mkuu,,
Tena ni shawishi mkuu,,
Zigo linacheza cheza kama paka yupo kwenye kiroba,,,anakwenda kutupwa..
Na mbaya zaidi anatupwa Buza kwa Mpalange....
 
Back
Top Bottom