Wadau wa Haki msiache machozi ya watu hawa yakaenda bure

Wadau wa Haki msiache machozi ya watu hawa yakaenda bure

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589

TLS, LHRC , Vyama vya Siasa na wadau wote wa Haki Nchini.

Haya Machozi ya Hawa wazazi yasiende Bure .

Wakati tunapaza sauti zetu kuhusu yule Binti alobakwa, Tukumbuke hapa Kuna Kijana Mdogo ambaye Ameuliwa kama alivyouliwa yule Binti wa Chuo wakati wa maandamano.

Pia Soma
- Simiyu: Mkuu wa Mkoa athibitisha kifo cha Mtu mmoja katika Maandamano ya Busega
 
Haya ni madhara ya kua na askari Dara la Saba , ambao kwao hutanguliza Nguvu .

Hivi Kesho la Polisi lilishindwa kutumia Mabomu ya machozi, au Risasi baridi ,au maji washawasha??.

Mpaka mfyatue Risasi??.

Inawezekana kabisa, Kukawa na mauaji Kadhaa yalotokea kwenye Sakata hil, na huyu Kijana ni Mmoja wao.
 
Tulipofika hapa, nanusa kabisa yale yaliyowakuta kina Rutto na Kenyatta kuwatokea baadhi ya watawala wetu.

Citizens aren't backing down, while CCM is willing to massacre thousands to cling unto power. And there's no salvation for CCM after Madam Tippu Tippu has done against this nation.

I never thought I would live to witness the last days of CCM.

What a good time to be alive!​
 
Haya ni madhara ya kua na askari Dara la Saba , ambao kwao hutanguliza Nguvu .

Hivi Kesho la Polisi lilishindwa kutumia Mabomu ya machozi, au Risasi baridi ,au maji washawasha??.

Mpaka mfyatue Risasi??.

Inawezekana kabisa, Kukawa na mauaji Kadhaa yalotokea kwenye Sakata hil, na huyu Kijana ni Mmoja wao.
Hayo maji washa huwa yanarushwa toroli!?
 
Huyu mama ana ukichaa.
Sometimes unaweza kumuonea huruma mtu ambaye hajitambui.
Anasema wananchi wasiandamane.
Kwani maandamo ni ugaidi?
Je, Sheria hazitambui maandamanoo?
Je, risasi ilikuwa last option kwa police kuzuia hayo maandamano?
 
Business as usual. It seems there is a systemic abuse of police power mkoa wa Simiyu.

Less than 2 weeks ago askari wa huo huo mkoa wa Simiyu, makao makuu yao Bariadi, waligeuza simple traffic offence - fender bender ya parking - kuwa kipigo kizito, wakanijeruhi, mixer kunikalia kooni nilipotaka kusimama ili tuendelee na mazungumzo. Mwishowe waliniweka ndani, na ilitumika backup ya mwenyeji wangu, mtu mzito hapo wilayani ili mimi kutoka.

Nakumbuka vizuri askari aliyekuwa mstari wa mbele kunipiga kesho yake aliniambia "yani wewe una bahati, sisi huwa tunapiga sana bro"

Nilieleza kituoni kwa mkubwa wao kuwa tukio zima limerekodiwa video na sauti kwenye dashcam za gari yangu, kama wakitaka tu open up evidence. Niliachiwa bila masharti, nikabaki na majeraha yangu. Jicho, mdomo, shingo, na visigino vya miguu yote miwili. Mguu wa kushoto ulipata 'pitting edema', and As I write this, bado unatoa usaha na damu kwa mbali.

Sishangai askari hao hao kumuua huyu kijana, kwani kwa maneno yao ni fahari wao kupiga watu pale wanapojiskia.

Twisting ya maneno niliyoishuhudia pale, sidhani kama nitakuja kuamini lolote askari wanalosema.
 
Back
Top Bottom