geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,237
Hivi hivi viroba kumbe bado viko mtaani eeeeh... wewe umewaona wapi hao watuHabari
Nimekaa nimewaza kitu wengi wetu humu hatufahamiani physical zaidi ya kukutana humu kwa njia ya maandishi ila asilimia kubwa hatujawai kukutana.Mimi ni mmojawapo tangu nijiunge humu sijawai kukutana na mtu wa humu lengo la uzi huu ni kujaribu kuangalia wadau wa humu jf kwa majina yao na kujua jinsi walivyo kwa sura na maumbo,mfano
1.faiza foxy
Huyu ni mama mtu mzima maji ya kunde ni mnene kwa umbo sura yake muda wote kakasirika hata cha kutabasamu pia hupendelea kuvaa miwani.
2.BAK
huyu kwa jinsi ninavyomuona ni tall flani iv mweusi kama baraka the prince.
3.Nifa
huyu kama bold anavyomuitaga ni cheupe flani hivi.ana kishepu cha kimtindo kama jokate iv lakini sio sana ana pua nyembaba na macho ya wastani.
4.Miss chaga
Huyu ninavyomuona ni black beuty ila kidogo hajajaliwa chura yuko na umbo la wastani pia anapenda kunyoa low cut.
5.Gentymme nahisi nimekosea kuandika.
Huyu jamaa bana ni kama mtu mzima hivi sema anaonekana nk wale wafup kiumbo kama stamina au shiza kichuya.Huyu jamaa anaonekana anapenda kuvaa kipapaa kama wale watu wa kongo.
6.Joan
ingawa kaweka avatar kadada flani kazuri sidhani kama yuko vile huyu kila nikimuona naona amafanana na rubby
7.evelyn salt
Madam mwalimu huyu anaonekana mrembo sana kwa mtazamo wangu.Niliwai ona kaolewa na dokta asilimia kubwa ya madokta hawaoi vibofu.sema huyu eve anaonekana mweupe sana.nahis tuu
8.mshana
Huyu mkuu ni mfupi kibonge ingawa hana tumbo kama le mutuzi
9.Nyagi ngabu
Haka kajamaa kanaokena hakana mwili ni kembamba kinoma japo ni kasukuma.vile vidharau vyake inaonekana hata yeye mwili wake hautaki
WADAU MALIZIENI mtaje mwanachama wa humu ambaye hajuwai kutana nae na muelezee unahisi yukoje...
Asante
Nalazimika kusema kwamba..... Wewe sio mgeni humu kama ulivyo jitambulisha, kwasababu hayo ulio yaandika mhhhh.......[emoji2] [emoji2]Habari

Hatari sana......[emoji12] [emoji12]Hii kali
Hatari sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahhHatari sana
Kwann uko hivoHii kali
Nikoje?Kwann uko hivo