geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,223
- Thread starter
-
- #201
Hance Mtanashati je?
Siri yetu
Umekosea kabisaMkuu bila shaka ww ni wastani sio mrefu wala mfupi ila ni mweupe.tatzo lako unapenda kuvaa nguo za kung'aa kama zile.za kariakoo
Mleta uzi inaonesha we ni jmaa fulani iv mfupi mweupe,afu una tumacho tudogo tumeingia ndani,na unatokea gongo la mboto...
Umekosea kabisa
Mimi nipo kama huyo wa kwenye avatar kwa kila kitu
Tukishajuana ili kiwe nini au umetumwa na bashite.....
ID ya hance mtanashati insta [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Huyo myweather safi sana mkuu....itakua ww bishoo mnyanyua vyuma...sema kama nimewai ona iyo id insta
Mleta Uzi, kwakua huu Uzi hauna maana, NA unaonekana KUKOSEA SANA.
NA KWA WENGINE HII NI KAMA MATUSI NASHAURI UNGEUFUTA TU.
TOO BAD.
Kaangalie kule WhatsApp ...nishakutumia picha zanguMkuu nipe nafasi ya upendeleo niambie UKOJE?..ila unaonekana unapenda sana kuchati hasa whatsapp
Kaangalie kule WhatsApp ...nishakutumia picha zangu
Umeingia JF juzi Jumapili!!!!
HR661.lege
Ni kijana mwenye umbo LA wastani,umri wake miaka 30 mpaka 35 hv,mweusi kiasi anayeamini taaluma bora Zaid ni udaktari.
2. The bold
Kijana mwenye umri Kati ya miaka 30 mpaka 40 hv,
Maji ya kunde,mwembamba kiasi,kimo cha wastani hv
Mbona umepaniki mapemaAndika ww basi mundali