Nawe jieleze ulivyo tukufahamuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii kali
Anabashiri tu hana loloteNalazimika kusema kwamba..... Wewe sio mgeni humu kama ulivyo jitambulisha, kwasababu hayo ulio yaandika mhhhh.......[emoji2] [emoji2]
Alafu ID yako ndio kwanza ina siku 2 tu......[emoji45] [emoji45]
Sina shaka hao wote ulio wataja itakua unawafaham na ulisha kutana nao aiseeeee......
Daaah ! Haha poa nimeufuta uchambuzi wanguNdugu hwachambuani wewe..
Siunaona huko sijakuchambua mimi.
[QUOTbeiart911, post: 20392948, member: 194588"]cc: mahondaw
Wakinichana niite [emoji23][emoji23]Aiseeeee
Aiseeeee
Hhaahahah haya mtt wa NgarerooooWakinichana niite [emoji23][emoji23]
[QUOTbeiart911, post: 20392948, member: 194588"]cc: mahondaw
Hihii uzi unafanana na wako[/QUOTE]Smart911 --huyu kwanza mzunguuuu
-Anajiamini sana
-Yupo makini sana na kila akifanyacho
-A man of principles huyu ana principle zake mattatta yeye hata umchokonoe hata umtukane Wee utatokwa povu yeye walaaaa anakuangalia tu as long as you don't mean to his life you can go to hell
-Mtu wa maamuzi huyu akiamua ameamua never turn back
-Ana mapenzi ya Kweliiii sio kama ya kibongo bongo
-Akipenda amependa kweli and you will always be happy and enjoy
-He's crazy in love huyu ana mambo yake fulani hivi dah utabaki hoooiii na kuomba ukachukue begi lako hom uje kuishi nae milele wakati ndokwanza intro tu
....
Will be back
cc: Smart911
Lol ule ni too much
Kule kuna Mambo ya kuchanana live dukuduku lako la moyo bila kujali zuri au baya..
Jana kilinuka kule nikakimbia mbio
Smart911 huyu kwanza mzunguuuu
Anajiamini sana
Yupo makini sana na kila akifanyacho
A man of principles huyu ana principle zake mattatta yeye hata umchokonoe hata umtukane Wee utatokwa povu yeye walaaaa anakuangalia tu as long as you don't mean to his life mwee
Mtu wa maamuzi huyu akiamua ameamua never turn back
Ana mapenzi ya Kweliiii sio kama ya wabongo
Akipenda amependa kweli and you will always be happy
....
Will be back
cc: Smart911
Lol kamchane tu hatakiwi kukasirikaUgomvi tena!
Bora sijamchana mtu niliyetka kumchana lol
Naomba uniamini Mkuu, lakini usiniulize nimejuaje.....[emoji5] [emoji5]Anabashiri tu hana lolote
Sema nenoNaomba uniamini Mkuu, lakini usiniulize nimejuaje.....[emoji5] [emoji5]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]