Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
tatizo lako hujaijua jf vizuri.. shida zako binafsi na stress zako unazileta hapa unajenga bifu na watu ,,sijawahi kuwekewa bifu na mtu tangi nijiunge hapa JF miaka kama kumi hivi na kila siku nipo majukwaa yote.Shida ni unachoropoka nahuo mdomo wako
That's the problem
I also dislike bifu za kishamba
Anyway better be na all the bests
Mkuu kweli iyo id ni mpya manake ya zamani kila nikilog in inakataa nikaamua kuunda mpya.Kuhusu kukutana na hao niliowataja sio kweli thread imekaa kichit chat tuu
Acha kukariri sema id ya juzi.ila mimi ni mkongwe kuliko hata ww uwe unajiongeza nikae siku mbili niwajue watu wote hao
Yani humu jf kama kipindi kile tunaanza o level kuna vimemba vina mwaka mmoja humu basi vikiona id ina siku 3 vitatoa shitt zote badala ya kujadili mada..
Teh teh
Tayari umejivuruga hapa. Kwa sisi tunao fahamu rangi za maandishi na miandiko........Nina miaka zaid ya saba hapa..sema hii id nimeingia nayo juzi....hujiuliz nijiunge jf juzi nijue habari zote hizo mbona mnakua wagumu kufikirisha ubongo
huu ni msamiati mpya au?Wewe nahisi utakuwa mpolee na mstalabu
Ule ulio sababisha minyukano..?Halafu umechelewa wameshaufunga ule uzi
hapana.. mimi napenda sana utanii.. na jf nipo muda mwingi kwa sababu natania wat wengi na kuwakera....just for fun.. s guys dont take things too serious...JF is just jf.chit chat..Wewe nahisi utakuwa mpolee na mstalabu
Ndio, mie niko kazini nyie mnanitaja taja.mi nakutaja unasema unapaliwa??
aiseee
Hebu huko!!Usiku na mchana na kesha nikisali kila jaribu nalokutana nalo nilishinde.
Mungu alisema kesheni mkisali nanyi mtayashinda. Naamini yupo na mimi kwenye hili.
Ona kaanza kupaliwa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwikwikwi.Mleta uzi lazma umetokea koromije [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji13] [emoji13]Hivi hivi viroba kumbe bado viko mtaani eeeeh... wewe umewaona wapi hao watu
Paprika anafanana n'a Malia obamaHii kali
tom boy JF sio nyumba ya kupanga uanze kuniwekea bifu,..sasa hivi ndio nimetangaza kukukera mwanzo mwisho. adi uanze kuvaa kama msichana.
Mahondaw uyu nahisi ni ki andunje alafu mnene mweusi kama wale mbilikimo wa Congo
kaoneHeheheee
Hata mpumbavu akinyamaza huhesabiwa hekima
Nakucheka kwa dharaaau
umepataaMahondaw uyu nahisi ni ki andunje alafu mnene mweusi kama wale mbilikimo wa Congo
Hivi umeelewa ulicho kiandika kweli (guys).....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Habari zenu guys...
Haaaaaa joking bhana na we uwa nahisi ni mrembo mmoja matata sana alafu chautundu fulaniOops umenigusa Antonio de Guzman
Sema ulichokosea kidooogo hapo kwenye mweusi pekeake .. Ni mweusi tiiiiiiiiii
Wewe nahisi utakuwa mpolee na mstalabu
Mkuu.....huu ni msamiati mpya au?