Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Shida ni unachoropoka nahuo mdomo wako
That's the problem
I also dislike bifu za kishamba

Anyway better be na all the bests
tatizo lako hujaijua jf vizuri.. shida zako binafsi na stress zako unazileta hapa unajenga bifu na watu ,,sijawahi kuwekewa bifu na mtu tangi nijiunge hapa JF miaka kama kumi hivi na kila siku nipo majukwaa yote.
wewe unaifananisha jf na fb.. hapa hatujuani na kila kitu ni imaginations..
you take things too serious!!
wherever ..nitaendelea kukukera na kukukera tom boy mkubwa wewe... na ukinitukana nakupiga ban pia.. tom kabisa! nyau
 
Mkuu kweli iyo id ni mpya manake ya zamani kila nikilog in inakataa nikaamua kuunda mpya.Kuhusu kukutana na hao niliowataja sio kweli thread imekaa kichit chat tuu

Acha kukariri sema id ya juzi.ila mimi ni mkongwe kuliko hata ww uwe unajiongeza nikae siku mbili niwajue watu wote hao

Yani humu jf kama kipindi kile tunaanza o level kuna vimemba vina mwaka mmoja humu basi vikiona id ina siku 3 vitatoa shitt zote badala ya kujadili mada..


Teh teh

Nina miaka zaid ya saba hapa..sema hii id nimeingia nayo juzi....hujiuliz nijiunge jf juzi nijue habari zote hizo mbona mnakua wagumu kufikirisha ubongo
Tayari umejivuruga hapa. Kwa sisi tunao fahamu rangi za maandishi na miandiko........
Tayari tumeunganisha dots...
 
tom boy JF sio nyumba ya kupanga uanze kuniwekea bifu,..sasa hivi ndio nimetangaza kukukera mwanzo mwisho. adi uanze kuvaa kama msichana.
 
Mahondaw uyu nahisi ni mdada fulani mzuri mwenye umbo la wastani ana chura fulani hivi amaizing na ni mjanja wa mambo mengi tu pia muongeaji sana. Big up mahondaw nakuapreciate cna na kukulove pia [emoji7] [emoji7]
 
Back
Top Bottom