Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
tatizo lako hujaijua jf vizuri.. shida zako binafsi na stress zako unazileta hapa unajenga bifu na watu ,,sijawahi kuwekewa bifu na mtu tangi nijiunge hapa JF miaka kama kumi hivi na kila siku nipo majukwaa yote.Shida ni unachoropoka nahuo mdomo wako
That's the problem
I also dislike bifu za kishamba
Anyway better be na all the bests
wewe unaifananisha jf na fb.. hapa hatujuani na kila kitu ni imaginations..
you take things too serious!!
wherever ..nitaendelea kukukera na kukukera tom boy mkubwa wewe... na ukinitukana nakupiga ban pia.. tom kabisa! nyau