Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Joined last Sunday. Kaa hata wiki mbili basi ndo uweze kuwafahamu wahusika. Watu tumekata miaka miwili bado hatujui member hata mmoja labda wale verified nao ni kwa sura basi.
Inawezekana ni New id usishangae au alikuwa anatumia jf Kama viewers wa kawahda pasipo kusign in
 
Nafahamu siwezi kujijua ila ata wanaonifahamu hakuna anayeniambia naringia uzuri
Tatizo umeimagnify na kuichukulia tofauti,ila ni feminism tu,hata ile kujikubali tu kwamba ni mzuri inakufanya ujiamini kama mwanamke. Ukikutana na mtu asiyejiamini atakuchukulia unaringa hata kama hujazungumza kitu na hakujui
Mtu anayekujua ndo atajua kwamba huringi ila unajiamini tu
 
1.lege
Ni kijana mwenye umbo LA wastani,umri wake miaka 30 mpaka 35 hv,mweusi kiasi anayeamini taaluma bora Zaid ni udaktari.

2. The bold
Kijana mwenye umri Kati ya miaka 30 mpaka 40 hv,
Maji ya kunde,mwembamba kiasi,kimo cha wastani hv
 
Si bure utakuwa umetumwa kuja kutupeleleza.!
 

Hivi Wewe huwezi kuwa ndiyo yule Mzee wa Mkoani Kigoma aliyemwambia Mkuu wa Wilaya kuwa hatoacha kulima na kuvuta Bange / Bangi kwani ameanza kulima na kuitumia tokea mwaka 1973? Halafu rekebisha hapo katika ID yangu naitwa GENTAMYCINE na siyo hivyo ulivyoandika Wewe.
 
Kwa Miss Chagga umekosea sana.
 
Mleta Uzi, kwakua huu Uzi hauna maana, NA unaonekana KUKOSEA SANA.

NA KWA WENGINE HII NI KAMA MATUSI NASHAURI UNGEUFUTA TU.
TOO BAD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…