halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,096
- 5,254
Nyodo? [emoji30] [emoji30] anakusingizia walahiAisee!
Tangu nijiunge jf ndio mara ya kwanza napata comment ya namna hii
Naacha nyodo za kujiona mzuri kuanzia sasa hivi...only for you chief1
Ananisingizia kweli[emoji17]Nyodo? [emoji30] [emoji30] anakusingizia walahi
kuna watu wanafuatilia Jf bila hata kuwa member, hata mimi niliifuatilia zaidi ya mwaka kabla ya kuwa na account humu Jf.Joined last Sunday. Kaa hata wiki mbili basi ndo uweze kuwafahamu wahusika. Watu tumekata miaka miwili bado hatujui member hata mmoja labda wale verified nao ni kwa sura basi.
Kwel, wee ni kapore kazur unasadifu jina lako, hem chukua 5 [emoji109]Ananisingizia kweli[emoji17]
[emoji28] [emoji28]Kwel, wee ni kapore kazur unasadifu jina lako, hem chukua 5 [emoji109]
Njia ya muongo ni fupi mkuumkuu unajua kuumbua watu weye.....yaani twasema u hit the nail on the head
Joined last Sunday. Kaa hata wiki mbili basi ndo uweze kuwafahamu wahusika. Watu tumekata miaka miwili bado hatujui member hata mmoja labda wale verified nao ni kwa sura basi.[/QU
Hivi hivi viroba kumbe bado viko mtaani eeeeh... wewe umewaona wapi hao watu
Mchochezi!![emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] utapigwa ban moja hatari, jf utakua invisible for the rest of your life
[emoji23][emoji23][emoji23]Ya lijamaa limepanua mdomo meno kama beleshi
HahahahhhWewe inaonekana unapenda ndoa saana..
Avatar zako za kuvalishana Pete. Endelea utakipata unachokitafuta
tehhumu ndani inabidi tuvumiliane maana kuheshimiana tumeshindwa
Mwenyewe kuna mtu namfananisha na wewe yule uliyeniambia nimsaidie juzi. Na ukiniuliza sijui kwanini.Kwanini?
Kuna mtu alishanifuata PM akaniuliza same thing
Paprika beb njoo umuone mtoto mtukutu anachosema
Si ni kweli eeeh! Au namuonea dada yako.Hahahahhh