Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Joined last Sunday. Kaa hata wiki mbili basi ndo uweze kuwafahamu wahusika. Watu tumekata miaka miwili bado hatujui member hata mmoja labda wale verified nao ni kwa sura basi.
kuna watu wanafuatilia Jf bila hata kuwa member, hata mimi niliifuatilia zaidi ya mwaka kabla ya kuwa na account humu Jf.
 
Mleta uzi inaonesha we ni jmaa fulani iv mfupi mweupe,afu una tumacho tudogo tumeingia ndani,na unatokea gongo la mboto...
 
Kwanini?
Kuna mtu alishanifuata PM akaniuliza same thing

Paprika beb njoo umuone mtoto mtukutu anachosema
Mwenyewe kuna mtu namfananisha na wewe yule uliyeniambia nimsaidie juzi. Na ukiniuliza sijui kwanini.
 
Back
Top Bottom